Kuna mtu mwenye tatizo kama langu cas.tcu.go.tz?

Hiyo solution ya 123456 sina uhakika nayo kabisaaaaa keasababu mtu anaweza kufubgua account ambayo sio yake so uliye toa hiyo solution toa maelezo yakutosha ulikopata hizi taarifa, na ambao mmejaribu tupeni matokeo je imafanya kazi au la
 
Weee nani afanye huo upumbavu wa ku clear application yaani zimebaki siku 7 afu uki clear uachwe we chezea tcu kama huta suspend mwaka mzima..hebu mkuu tuambie we ulilog in kwa njia hiyo na ukafanikiwa???
 
Hiyo solution ya 123456 sina uhakika nayo kabisaaaaa keasababu mtu anaweza kufubgua account ambayo sio yake so uliye toa hiyo solution toa maelezo yakutosha ulikopata hizi taarifa, na ambao mmejaribu tupeni matokeo je imafanya kazi au la

nimejaribu ime work na nime-update password yangu..ukiupdate password yako privacy inakuwepo kama kawa.
 
Wadau hawa tcu vp baada ya elimu niliyochota hapa nilifanikiwa kulogin baada ya kabadilisha password naangalia course nilizoomba inaonekana moja pekee ambayo niliichagua kama ya tatu na kitufe cha applicatio hakifanyi kazi mwenye wazo ushauri tafadhali
 
wakuu mimi kwenye selection status ina display course moja tu kati ya 8 nlizochagua..kinachonishangaza nikwamba tatizo hili limeanza jioni hii..
help please
 
mwana anza application upya kwa sababu hilo tatizo lishawahi kunitokea
 
Tcu vigeugeu ndo nini sasa kutufanyia ivyo?! Dah hadi nimewachoka,kila siku wanaibuka na jipya.
 
Back
Top Bottom