Kuna mtu mwenye shida kama hii?

Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,275
5,392
Samahani wakuu nina katatizo kadogo japo very weird sasa naomba msaada tafadhali au kama kuna mtu anakatatizo kama haka anisaidie alitatua vipi.

Nimejaribu sana kutafuta option ya kubadilisha usser name yangu hapa Jf lakini kama sijapata kabisa na nimejikuta tu siipendi usser name yangu japo sikushinikizwa na mtu kutumia jina hili

Nashindwa tu kua fake sana angalau mwaka mpya nitumie jina langu halisi la ziada kama haitawezekana nifunge tu hii nifungue mpya yenye avatar hii hii ili nisiwe na haka kakero mwaka mpya 2016
 
Last edited:
Samahani wakuu nina katatizo kadogo japo very weird sasa naomba msaada tafadhali au kama kuna mtu anakatatizo kama haka anisaidie alitatua vipi.

Nimejaribu sana kutafuta option ya kubadilisha usser name yangu hapa Jf lakini kama sijapata kabisa na nimejikuta tu siipendi usser name yangu japo sikushinikizwa na mtu kutumia jina hili

Nashindwa tu kua fake sana atleast mwaka mpya nitumie jina langu halisi la ziada kama nitapata msaada wa kubadili hii itakua poa kama haitawezekana nifunge tu hii nifungue mpya yenye avatar hii hii ili nisiwe na haka kakero mwaka mpya 2016
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom