Kuna mtu keshanunua Azam ya Antenna?Mrejesho tafadhali

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Nimeona uwepo wa ving'amuzi vya Azam vya antenna wanavisifia sana wao kama Azam media


Mimi nina swali humu ndani kuna mtu keshanunua?Kipoje?Ubora jee?Jee kina HD?
FB_IMG_16098557780984782.jpeg
 
Back
Top Bottom