Haya Mtakatifu nimekuelewa na kukupata.
Kwa hiyo ampe likizo sio. Asimfukuze kama Mbwa eeh!!
Wala asimpe Talaka kwanza?
Wakiachana kwa muda itasaidia kuona yale ambayo walikua hawayaoni (wote mke/mme)...
Kufukuzana kama mbwa hakumsaidii yeyote.....
Haya Mtakatifu nimekuelewa na kukupata.
Kwa hiyo ampe likizo sio. Asimfukuze kama Mbwa eeh!!
Wala asimpe Talaka kwanza?
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?
Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.
Hapa mi nafikiri kuwa huyu mwanaume naye anayo matatizo fulani ndiyo maana anamsamehe kila wakati, Mapungufu ni ya Mwanaume, Kama mwanaume hana mapungufu hawezi kuwa anasamehe samehe ujinga kila mara.
Nashauri huyu jamaa ajichunguze yeye mwenyewe kwanza ni mambo gani mke anakosa toka kwake?
Wakiachana kwa muda itasaidia kuona yale ambayo walikua hawayaoni (wote mke/mme)...
Kufukuzana kama mbwa hakumsaidii yeyote.....
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?
Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.
Yani ukishamsamehe zaidi ya mara tatu na kuendelea mwenzio anafanaya makusudi kwa kujua kuwa atsamehewa tuu......so huyo mwanamke ameolewa kwa jamaa kwa lengo la kuwa na heshima kuwa na yeye ameolewa ama alifata kitu kingine kwa ndoa si mapenzi kwa huyo mume ndo yalomfanya aolewe...so anaenda kupigwa nje kwa wale/au yule mtu ambae yeye mke anamfeel kimahaba...that is wat is happening.
So jamaa akubali matokeo amwachie mama aende itamuuma sana bt kwa mda bse alimpenda kiukweli ila binadamu tumeumbwa na kusahau atasahau na life ingine itendelea..
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?
Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.
Haya babu yangu, nimekupata kabisa.
Sasa babu, mwanaume akifumaniwa hata mara mia mbili unaweza shauriwa umsamehe tu.
Vipi hapo Babu yangu hakuna kauonevu kweli.
RR umesomea nini Njia za "Divorce" maana kuna thread moja niliona ulitoa mbinu nzuri sana inaonyesha wewe mtaaalamu sana itabidi nikutafute
Aendelee kumsamehe kama anataka kufa kwa ngoma siku moja!!!Kama hataki amuache!!!
mara tatu nadhani huyo mwanaume ana mapungufu katika kufanya maamuzi mazito
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....
Unatakiwa kuita marafiki zako woteee mnamla mande halafu unamtimua