Kuna mtu anayejua mmiliki wa Mabasi kampuni ya "Zakaria Airbus" inayotawala njia ya Tarime- Mwanza alipo sasa hivi atujuze

jogoo wa maajabu

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
614
1,113
Wapendwa najua mtakuwa wazima sana moja kwa moja twende katika mada yangu ya leo...japo uandishi wangu ni 0

kwa wakazi wa Tarime na Kanda ya Ziwa kwa ujumla najua mtakuwa mnamfahamu huyu tajiri wa mabus yenye safari zake Tarime kwenda Mwanza na Tarime kwenda Arusha kupitia njia ya Serengeti huyu tajiri Kuna mtu anayejua alipo kwa sasa maana alikuwa ni mgonjwa.
 
Mr Zacharia ndiye mmiriki wa Mabasi kampuni ya Zacharia .kiufupi mm nimemfahamu kipind cha raisi mstaafu jakaya kikwete alikuwa MTU hatari Sana (alikuwa na uwezo WA kufanya atakalo lakini serikali ya raisi maghufuri ilimdhofisha Sana .toka hapo sikujua alipo .
 
Mr Zacharia ndiye mmiriki wa Mabasi kampuni ya Zacharia .kiufupi mm nimemfahamu kipind cha raisi mstaafu jakaya kikwete alikuwa MTU hatari Sana ( alikuwa na uwezo WA kufanya atakalo lakini serikali ya raisi maghufuri ilimdhofisha Sana .toka hapo sikujua alipo .
Kweli kabisa huyu jamaa alisumbua Sana watu Wnzi za Kikwete. Kipindi cha Magu alifinywasana na ndicho kipindi slipotea.

Huyu jamaa sio mgonjwa nadhani alipigwa jela kimya kimya
 
Kweli kabisa huyu jamaa alisumbua Sana watu Wnzi za Kikwete. Kipindi cha Magu alifinywasana na ndicho kipindi slipotea.

Huyu jamaa sio mgonjwa nadhani alipigwa jela kimya kimya
Tokea 1995 enzi za mkapa ilikuwa balaa 1998 aliwachapa abiria na mijeledi hii ni baada ya safari kwenda Sirari(mpakani) abilia waligomea kushuka akaitwa alitembeza kichapo kumbe kulikuwa na mfanyakazi wa Ikulu baada ya hapo Myama(Z)aliitwa Dar lakini mambo yakaisha
 
Back
Top Bottom