Kuna mtu anayejua mmiliki wa Mabasi kampuni ya "Zakaria Airbus" inayotawala njia ya Tarime- Mwanza alipo sasa hivi atujuze

Zachary Ametawala Huko Musoma ~Mwanza

Dodoma Alileta Bus Moja Kwenda Arusha Naona Kashindwa
 
Huyo mwamba,nilisomaga habari zake za kudili na MENO maeneo ya sheli.Ukute meno walimuundia zengwe akawekwa lokapu kimyakimya.
 
Dizaini kama vile vituo vyake vya mafuta na majori ya kubeba mafuta vilitaifishwa mwaka jana au mwaka huu mwanzoni
 
Jamaa yuko Gerezani butimba kwa kesi ya kumpiga Risasi mfanyakazi wake
Sio kwamba unachanganya Mkuu!!

Aliyempiga mfanyakazi wake na kuua sio J4 Na kesi iliisha jamaa yuko nondo Butimba!!!

Hivi aliyekuwa ameweka nyuma ya nondo na mkewe sio huyo zakaria ama na mimi niko chaka!
 
Alikua tajiri mwenye roho mbaya haswa alishafanya matukio ya kinyama mengi, na hata uende kumshtaki wapi hutoboi maana alikua anakula sahan moja na ikulu ukifanya mchezo utapigwa ww na kufungwa utafungwa ww ila kwenye utawala wa ndugu yake kutoka kanda moja alitulia kimya had leo kapoa
 
Kuna kipindi basi zake zilirundikwa kwenye gereji ya Gachuma pale igoma. Duh utajiri bila visa hauendi
 
2001 alimwagia dereva wa basi la Bunda bus service tindikali kutokana na ushindani nakumbuka tukio lilifanyika alfajiri,jamaa alitesa watu mnoo mfanyakazi wake alinunua uwanja au kujenga alinyang'anywa
Hiki kitendo alikifanya nikiwa mdogo Sana enzi npo primary school nlkuwa napata tetesi jamaa alivyokuwa anateseka na majeraha ya acid naumia sana..mpaka akafariki acid ilikuwa imemuhalibu uso vibaya mno....
 
Jamaa anaumwa. Mimi nilikuwa kila siku asubuhi nakutana nae anafanya mazoezi. Anatembea kwa speed kuizunguka nyumba yake.
Ukimchek kiunoni kama kawa, unaona mchoro wa mguu wa kuku.

Mleta mada, Z yupo kwake anauguzwa. Alipata stroke. Daah! Peter Zacharia, anatembeleaga Kluger flani nyeusi, wakati mwingine blevis, akiwa anaenda masafa marefu kama mwanza anatumia vx. Kuna muda anatesa na succeed, Noah. Akiwa na ugeni wa heshima kuna gari sijawahi kujua inaitwaje, tarime zipo mbili tu, yake na ya NAMBA 3 ( Mwekekiti CCM) Mkoa wa Mara.

Ndani ya uzio wa uwanja wake kuna aina nyingi za magari. Za mafuta, mabasi, tractor, pick up, hiace, kuna zile gari zimefungwa winchi, jamaa ni taasis inayojitegemea.

Anamajumba mengi Tarime. Daah, pamoja na hela zake zote lakini saiv zinamsaidia kunywa madawa tu
 
kila lenye mwanzo halikosi mwisho
IMG-20210920-WA0003.jpg
 
Kweli kabisa huyu jamaa alisumbua Sana watu Wnzi za Kikwete. Kipindi cha Magu alifinywasana na ndicho kipindi slipotea.

Huyu jamaa sio mgonjwa nadhani alipigwa jela kimya kimya
Acha umbea, aliyekwambia yupo jela nani? Z yupo uraiani siku zote. Kesi yake aliyokuwa nayo ilisha kitambo sana.
Anakama mwezi tu tangia aanze kuumwa. Me namfaham vizuri sana
 
2001 alimwagia dereva wa basi la Bunda bus service tindikali kutokana na ushindani nakumbuka tukio lilifanyika alfajiri,jamaa alitesa watu mnoo mfanyakazi wake alinunua uwanja au kujenga alinyang'anywa
Hii niliisikia kipindi hicho bado Niko mdogo

Nimekumbuka Bunda bus
 
Back
Top Bottom