Kuna mtu anaweza kujilimbikiza mali tofauti na matarajio ya wengi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Haihitaji "ramli" ya mganga wa kienyeji kulijua hili wala darabuni ya mwanasayansi kuliona hili bali ni kupitia viashiria tu ambavyo teyari viko wazi machoni pa watu.

Hata hivyo,sitamuhukumu moja kwa moja kuwa anakusudia kufanya hivyo ila muda ndio kila kitu.

No wonder watu hawapendi kutangaza mali zao pale wanapoingia na wanapotoka.
 
Muda utatupa majibu
Mkuu ila mimi toka mwanzo wanapochagua mawaziri kuna vitu niliviona , na wengine wanaviona siku za karibuni na kushangaa.
Sina matarajio makubwa sana kwani mambo mengi ni yaleyale tu.
Hata hilo likitokea sitashangaa sana.
 
Bwana yule yuko wapi? Yaani pesa zote zinazokusanywa yeye anapeleka kujenga kiota cha ndege na zingine anagawa bila kufuata bajeti.



swissme
 
Tender za serikali zinatangazwa kwenye kituo gani cha habari? Maana nasikia tu mikataba inasiniwa tu! Kwa kutangazwa na vituo kibao vya habari!
 
Back
Top Bottom