Kuna Mtu anaomba msaada wa mawazo chakufanya kulingana na Haya Matokeo

Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,168
7,513
Hapa natanguliza tu shukuran kwa atakaenisaidia Kwa huyu ndugu yangu (sio mimi)

Hivi kwa matokeo haya ina maana ndio anarudia mwaka mzima somo moja au inakuaje?? maana haelewi na mimi sielewi sababu somo alilo cary ni la sec.semister,sasa hapa iakuaje wakuu??

Kama anarudia mwaka mzma ina mana atalisoma hlo somo 1st semista na sec.semista?? na kuhusu Ada inakuaje hapo wakuu ndio kulipa ada ya mwaka mzima au vipi??

Sielewi mbele wala nyuma ata kumshauri sijui..Kama mnavyoona apo GPA haijajazwa wala Class,wajuvi wa mambo pls nisaidien uyu ndgu yangu ajue nn chakufanya.

1.kurudia mwaka mzima???? au
2.kurudia semista moja ya somo alofeli??

vipi kuhusu Ada kama atahitajika kurudia mwaka mzma??
 
Attachments

  • 2.png
    2.png
    4.3 KB · Views: 48
  • Screenshot_1.png
    Screenshot_1.png
    5.8 KB · Views: 48
kila chuo kina utaratibu wake huyu yuko mipango ama wapi?

mfano MU ukifeli research kama ivo ww ni kwenu maana imebeba semista nzima.
 
kila chuo kina utaratibu wake huyu yuko mipango ama wapi?

mfano MU ukifeli research kama ivo ww ni kwenu maana imebeba semista nzima.
ina mana MU ukfeli somo 1 kama ivyo ndo ntoleeee?? yan miaka mi 4 yote iwe sawa na zero?? ebu naomba msaada kwa utaratbu wa UDSM
 
ina mana MU ukfeli somo 1 kama ivyo ndo ntoleeee?? yan miaka mi 4 yote iwe sawa na zero?? ebu naomba msaada kwa utaratbu wa UDSM
MU mwaka wa 3 semista ya kwaza ni research tu, ikiwa na maana imebeba masomo ma 5+ hivyo ukifeli inahesabika umefeli masomo yote.

na MU ukifeli masoma ma 4 ni kwenu ndo maana kwa somo 1 la research ukifeli unarudi home.

UD sijui utaratibu wao.
 
Kama course aliyo carry iko semister ya pili,atasubiri hadi semister ya pili ifike ndo ataanza kusoma hiyo course na kuhusu swala la Ada inabidi alipe ada ya semister ya pili tu
 
Mkuu unanitonesha nakat nilishasahau, mi nilidisco fist yr ya first semester kabla hata ya UE,

samahan wakuu, hv njia ya kuelekea libya kwa hapa bongo ipo wapi?
 
Kama course aliyo carry iko semister ya pili,atasubiri hadi semister ya pili ifike ndo ataanza kusoma hiyo course na kuhusu swala la Ada inabidi alipe ada ya semister ya pili tu

Aaah nashukuru sana kwa niaba mkuuu kdgo nadhan atapumua
 
pole mkuuu ....Njia ya libya unapta pale lugalo jeshini kwa nyuma kuna kauchochoro
Mkuu unanitonesha nakat nilishasahau, mi nilidisco fist yr ya first semester kabla hata ya UE,

samahan wakuu, hv njia ya kuelekea libya kwa hapa bongo ipo wapi?
 
Back
Top Bottom