MalaikaMweupe
Member
- Feb 24, 2009
- 72
- 18
Kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na Hospital ya Agha Khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote yuko nao,kukiwa na baridi utakuta wale watoto wamevishwa masweta. Anawalea vizuri hasa na siku zote yuko nao! Hivi sasa anaonekana ana mimba. Na itakuwa ya mtoto wa 5. je kweli ni kichaa? Au ni homeless tu?