Kuna mtu anamjua huyu mama?

MalaikaMweupe

Member
Feb 24, 2009
72
18
Kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na Hospital ya Agha Khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote yuko nao,kukiwa na baridi utakuta wale watoto wamevishwa masweta. Anawalea vizuri hasa na siku zote yuko nao! Hivi sasa anaonekana ana mimba. Na itakuwa ya mtoto wa 5. je kweli ni kichaa? Au ni ‘homeless’ tu?
 
Kweli hata mimi nimemwona na hazungumzi ukimhoji kitu ila ukimpa hela anapokea kwa sasa yuko karibu na geiti la Gymkana club kwenye gogo chini ya mti mkubwa. Na kinachonishangaza ni nani anampa mimba?

Na kwa sasa analala pale BP station upanga na wanaoga baharini. Nasikia mume wake ni dreva tax na kampiga chini. Huyu mama ana akili timamu ila hana pa kukaa.

Huyu mama anaishi kwa mikate ya wahindi na chakula wanachopewa na wasamaria wema. Tafadhali naomba kama kuna mtu mwenye nyadhifa serikalini amnyang'anye watoto watunzwe na kituo cha watoto yatima.

Wahuni wanaweza kuwafanya kitu kibaya hao watoto ni wazuri na wanaoneka kuwa na afya nzuri.
 
Mmmh! Huyu mama mbona nilimsikia zamani sana wakati Fina Mango na Masoud Kipanya wakiwa bado wanatangaza Clouds FM. Waliwahi kumhoji na akasema anahitaji nauli tu ya kurudi kwao Kigoma, na kipindi kile pia alikuwa na mimba!
 
jamani nyie hebu fanyeni uchunguzi mjue ana matatizo gani asaidiwe
imeniumiza hii
 
Kweli hata mimi nimemwona na hazungumzi ukimhoji kitu ila ukimpa hela anapokea kwa sasa yuko karibu na geiti la Gymkana club kwenye gogo chini ya mti mkubwa. Na kinachonishangaza ni nani anampa mimba?

Na kwa sasa analala pale BP station upanga na wanaoga baharini. Nasikia mume wake ni dreva tax na kampiga chini. Huyu mama ana akili timamu ila hana pa kukaa.

mmh ! wanaume wengine jamani mbona hamna huruma kiivyo
 
mmh ! wanaume wengine jamani mbona hamna huruma kiivyo

Inaumiza sana ila sidhani kama kweli huyu mama ana ndugu au rafiki hapa mjini ngoja nijitahidi kupata picha yake kesho niweke hapa muone watoto walivyo wazuri.
 
huyo mama ana mume wake!
tena ni mume wa ''kigogo'' mkubwa tu....

BELIEVE ME!
nimwage dataaz?
 
Masahibu ya dunia yapo yaliyomsibu sio bure, ingawa utata unakuja kwenye hiyo (hizo) mimba!
 
kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na hospital ya agha khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote yuko nao,kukiwa na baridi utakuta wale watoto wamevishwa masweta. Anawalea vizuri hasa na siku zote yuko nao! Hivi sasa anaonekana ana mimba. Na itakuwa ya mtoto wa 5. Je kweli ni kichaa? Au ni ‘homeless’ tu?
yupo pale miaka mingi sasa.
Zamani nilifikiri ni changudoa anaesakasaka soko.
Baadae nikagundua kuwa ana akili timamu.
Kuna siku niliongea nae sana maswala mbalimbali haswa ya meditation.
Aliniambie anapenda kwenda kule baharini na watoto ikiwa ni sehemu yake ya sou assylum.
Anajua anachikifanya kwa kweli.
 
Sou assylum ndio nini? Ina maana ni msomi na hana tatizo lolote la akili? Na je kwanini analala nje?
 
Inasikitisha sana habari ya huyu mama, nilimwona kwa mara ya kwanza miaka mitatu iliyopita, siku zote hayo ndiyo yamekuwa maisha yake, si kwamba hana pa kukaa, kwa misaada anayopata angekuwa anajali angeshatafuta pa kuishi na kutafuta cha kufanya pia, nina wasiwasi sana na uzima wa akili yake kwani mtu mwenye akili ahta siku moja hawezi kuishi maisha ya namna hiyo miaka nenda rudi tena na watoto wadogo huku akiendelea kupata mimba kila kukicha...., besides, jamani hao wanaume wanoazini nae na kumzalisha hao watoto kwanini hawatwki kuwajibika kwa welfare ya huyu mwenzi wao.
 
Binafsi nilimpomcheki mara ya kwanza nilijiuliza maswali mengi....! Nasikia ana mume ambaye ndio kazaa nae watoto wote hao
 
Kweli hata mimi nimemwona na hazungumzi ukimhoji kitu ila ukimpa hela anapokea kwa sasa yuko karibu na geiti la Gymkana club kwenye gogo chini ya mti mkubwa. Na kinachonishangaza ni nani anampa mimba?

Na kwa sasa analala pale BP station upanga na wanaoga baharini. Nasikia mume wake ni dreva tax na kampiga chini. Huyu mama ana akili timamu ila hana pa kukaa.

Huyu mama anaishi kwa mikate ya wahindi na chakula wanachopewa na wasamaria wema. Tafadhali naomba kama kuna mtu mwenye nyadhifa serikalini amnyang'anye watoto watunzwe na kituo cha watoto yatima.

Wahuni wanaweza kuwafanya kitu kibaya hao watoto ni wazuri na wanaoneka kuwa na afya nzuri.

mawaziri na wakurugenzi wa makampuni ndio zao gymkana sasa ukiwa makini kumhoji anaweza kututajia watoto wa kila waziri ;sio chizi yule
 
Tena cha kustaajabisha watoto wake wasafi sana na wanavaa vizuri tu.

Mimi nadhania ni Shu shu shu amewekwa pale kwa kazi maalum.

Kwani wakati wa Ujenzi wa Barabara ya Jangwani magomeni walikuwa wengi sana dizaini ile na sasa Mola amewaangazia,
 
we awajaangamia wote
kuna huyu jamani yupo hapa daraja la kawe anajifanya chizi lakini unamkuta anatembea mpaka kwa mwl nyerer daily na kurudi;alafu kuna siku asbh saa kuminambili nilikuta gari la jeshi wamempakiza kwenye landrover wanamsafisha vidonda nkasema ni wale vichwa vya maafa ya idi amin nini wameamua kuwasaidia mpaka wajifie
 
mmh ! wanaume wengine jamani mbona hamna huruma kiivyo

Ningeshangaa kama ungelaumu kiumbe kingine, ameshazaa wa kwanza , wa pili, wa tatu, jamani hajui jinsi mimba inavyopatikana? mbona mnawaonea wanaume? ana mimba ya tano sasa.

pengine target yake watoto kumi!

yupo pale miaka mingi sasa.
Zamani nilifikiri ni changudoa anaesakasaka soko.
Baadae nikagundua kuwa ana akili timamu.
Kuna siku niliongea nae sana maswala mbalimbali haswa ya meditation.
Aliniambie anapenda kwenda kule baharini na watoto ikiwa ni sehemu yake ya sou assylum.
Anajua anachikifanya kwa kweli.

kuna complication nyingi, ila ana matatizo ya akili, u know sometime wenye matatizo ya akili are very samert in taliking!

siyo usalama wa taifa kama wengine wanavyosema, usalama gani kulala na watoto nje!
 
Back
Top Bottom