Kuna mtu ana taarifa ya kilichotokea Nashville Marekani?

Njaramatata

Member
Aug 6, 2020
44
66
Habari za sikukuu ya krismas wanajamvi,

Naomba Kama Kuna mtu Ana taarifa ya kilichotokea Nashville,nimeona Kuna picha ya magari yameteketea kwa Moto.Mwenye taarifa kamili atujuze.Asante povu ruksa.

=====

Police arrived at the scene shortly after 06:00 (midnight GMT) on Friday after reports of gunshots. Within half an hour, the vehicle blew up.

Buildings and trees were damaged, and smoke rose above the city centre.

Three people were injured, none of them critically, and have been taken to hospital, officials said.

The FBI is leading the investigation. Agents from the Bureau of Alcohol, Tobacco, Firearms and Explosives are also at the scene.

A police spokesman told a hastily convened news conference that the force received reports of gunshots at about 06:00. When the bomb squad went to the scene, officers found a suspicious vehicle, a camper van. A short time later, it exploded.

It was not clear whether anyone was inside the vehicle at the time of the explosion, police said.

Resident Buck McCoy said he was woken up by the blast. He posted a video on Facebook, showing debris and water running down walls, with alarms howling in the background.

"All my windows, every single one of them got blown into the next room. If I had been standing there, it would have been horrible," Mr McCoy told the Associated Press.

"It felt like a bomb. It was that big."

Images from the scene showed blown-out windows, damaged buildings and felled trees. The explosion hit an area of Nashville known for its restaurants and nightlife.
 
Habari za sikukuu ya krismas wanajamvi.
Naomba Kama Kuna mtu Ana taarifa ya kilichotokea Nashville,nimeona Kuna picha ya magari yameteketea kwa Moto.Mwenye taarifa kamili atujuze.Asante povu ruksa.

Get into yoitube.
 
Mkuu ninaifuatilia hii habari kwa karibu sana. Polisi walipokea simu wakijulishwa kunamajibizano ya risasi. Wakaenda wakakuta hamna kitu. Lakini wakaliona hili gari motorhome limepaki kwenda kulichunguza wakasikia sauti iliyorekodiwa kwenye gari ikionya kutatokea na mlipuko baada ya dakika 15.

Polisi hawakupuuza Wakaenda kwenye apartments za watu na kuwagongea mlango na kuwaamsha (tukio 1 am) waondoke mara moja (evacuate) karibu na hilo eneo na imesaidia sana kuokoa maisha huku wataalamu wa bomu wakiitwa ila bomu likalipuka wakiwa njiani.

Huo mlipuko ulikuwa mkubwa sana Uzuri hamna vifo bali imethbitika kuna humans remaining haijulikani kama aliyejitoa mhanga ama mtu alikuwa karibu na tukio ila kuna majeruhi watatu ambao hali zao ni salama. Kulikuwa na polisi karibu alitupwa mita kadhaa kapoteza hali ya kusikia huenda akawa kiziwi.

Mlipuko huo umesababisha kukatika mawasiliano ya simu, internet na Wi-Fi.

Bado haijajulikana ni nani aliyehusika.

JF senior international correspondent

Masters
 
Nashukuru kwa info,maana hata vyombo vikubwa havijahanikiza hizi habari Kama tulivyozoea.
 
Hii gari ndo ilikua na milipuko

Myebusi Merry Christmas
Screenshot_20201226-062223.jpg
 
Habari za sikukuu ya krismas wanajamvi,

Naomba Kama Kuna mtu Ana taarifa ya kilichotokea Nashville,nimeona Kuna picha ya magari yameteketea kwa Moto.Mwenye taarifa kamili atujuze.Asante povu ruksa.

=====

Police arrived at the scene shortly after 06:00 (midnight GMT) on Friday after reports of gunshots. Within half an hour, the vehicle blew up.

Buildings and trees were damaged, and smoke rose above the city centre.

Three people were injured, none of them critically, and have been taken to hospital, officials said.

The FBI is leading the investigation. Agents from the Bureau of Alcohol, Tobacco, Firearms and Explosives are also at the scene.

A police spokesman told a hastily convened news conference that the force received reports of gunshots at about 06:00. When the bomb squad went to the scene, officers found a suspicious vehicle, a camper van. A short time later, it exploded.

It was not clear whether anyone was inside the vehicle at the time of the explosion, police said.

Resident Buck McCoy said he was woken up by the blast. He posted a video on Facebook, showing debris and water running down walls, with alarms howling in the background.

"All my windows, every single one of them got blown into the next room. If I had been standing there, it would have been horrible," Mr McCoy told the Associated Press.

"It felt like a bomb. It was that big."

Images from the scene showed blown-out windows, damaged buildings and felled trees. The explosion hit an area of Nashville known for its restaurants and nightlife.
Tuna some serious issues bongo

Muda wa kuhangaikia ya huko umekua mdogo sana
 
Hyo issue ni kweli imetokea hapa Nashville,Tennessee, lakini watu waliendelea kushereheka na xmass kama kawaida.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom