Kuna mtu ana shida na 500 ya noti

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,725
Wakuu walekomslam?Wana jf heshima kwenu Kuna mama mdogo Wangu wa hiari tuko naye mkoani Huku shida yake NI kwamba ana mdogo wake anaumwa Sasa akaenda kwa mganga mmoja mtata akaambiwa alete noti ya Mia tano japo Mimi siamini mambo ya kishirikina Kama NI ya kweli Ila kutokana na exposure niliyonayo mamdogo wa hiari mwenye shepu moja Kali kaniomba nimtafutie mtu atutumue, nikamwambia umepata nina wadau Kama wote jamiiforum kwa hiyo UHAKIKA....offer yake NI 5000 kwa atakayefikisha pesa hio kwa KONDA wa magari ya mabus ya baraka au buti la zungu pale temeke au mbagala...
 
Aiweke kwenye bahasha isipate matatizo ampe KONDA kabunda wa baraka mikoa ya kusini huku.
 
Back
Top Bottom