Kuna mtu amewahi kutana na mkasa kama huu? Huu mchezo anaofanya Ali Bao?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Huyu dada mrembo kaolewa na mumewe mtu mzima kidogo toka pemba mtoto mzuri sana sana si kidogo.

Tulifahamiana siku moja nlimpa lift kipindi cha mvua, siku nyingine tena nikakutana naye nikampa lift nikamwambia nataka niende Zanzibar sina mwenyeji, akanambia ana mdogo wake mzuri atanipa namba yake ya simu.

Nikawa namsumbua anipe alinigomea na kunambia "kwani mimi sitaki vitu vizuri" nikamwelewa.

Siku moja nikiwa bored likizo December nikamwambia nipo bored angekuwa free angekuja sehemu tule mishkaki na somethings, akanambia haina noma sema isiwe sehemu ya wazi nikamwelewa.

Kweli akaja nimpatie semina elekezi sehemu tulivu, amekula na kunywa imefika hatua nataka kumnanii akaanza period. Alishangaa hata yeye mwenyewe hiyo period imeanzaje na haikuwa wakati wake. Nikapatikana.

Mara ya pili tukapanga tena, tumejiandaa kila kitu bi mdada yupo chali kitandani nimemtoa chupi nataka ingiza mashine kaanza period tena mabonge ya damu yanamtoka.Nikapatikana.

Mara ya tatu napo leo hii nimetoka achana naye muda huu anasikitika maana leo yeye mwenyewe alilipia kila kitu ku prove kuwa si kwamba ananitegeshea siku. Akanambia "mi nataka nikupe utamu shem ushindwe wewe tu,maana wadhani nakunyima, ntagharamia kila kitu"

Nataka mnanii imeanza period, hapo akakaa akawaza akasema basi atakuwa Ali Bao huyo ndo anchezea hivi mzee ana ghubu huyu"

Sasa nimewaza sana wadau.Je, nimfuate mumewe Ali Bao nimwambie aache mambo ya kifala aache ushirikina?Anajifanya kushika sala kumbe mshirikina kama nini.

Au nifanyeje maana nimemuuliza mwanamke kuwa sasa hapo tunafanyaje, naye anasema anaumiza kichwa.

Niambieni wadau kama mmewahi kutana na mkasa unaofanana na huu.
 
Kwahiy na nyie mnamuamin huyu!!!!!.....................
Samahan mkuu hiv wewe una ndoto za kununua gari ama???........naona stori za magari zimezidi......au unamwiga kduku lilo........
 
Back
Top Bottom