Kuna mtu amewahi jaribu hii mbinu? inaweza kutumika kwa muda gani?

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,103
16,143
Hizi battery najua wengi wa jukwaa hili wanazifahamu..

_12__83448.1441647546.490.490.jpeg

Je, kuna mtu amewahi jaribu hii mbinu? inacharge kwa mda gani hadi battery kuisha?

22df5fcdf04a8f13fe8c99bfc901da1f.jpg
 
Tafuta tu powerbank mkuu,

Hizo battery ni 500mah tu, hata kama itachaji utahitaji battery 7 ama 8 kuchaji simu yenye kabattery kadogo kama 3000mah hapo tena kwa slow charging inayoweza chukua masaa kadhaa.
 
Back
Top Bottom