Kuna mtu ameshatumia huduma ya gesi ya kulipa kadri ya matumizi yako?

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,103
16,144
Habari,

Kuna huduma ya kutumia gas kadri ya kiwango unachoweza kununua kama ilivyo luku, kiufupi pale kwenye mtungi inafungwa digital meter na ina mawasiliano na kampuni husika.

Kwa mujibu wao unaweza nunua gas ya elfu kuanzia hata elfu moja na ikikata unanunua tena pia mtungi ukikaribia kukata wanapata notification wanaleta mtungi mwingine.

Swali langu kwa wana Jf, je kuna mtu humu ameshatumia huduma zao? Je ni afadhali kuliko mitungi hii tunayonunua ya elfu 50?

Zaidi wanasema wanapatikana mtandaoni kwa jina la hiyo heading.
 
Nimetimia, wako vizuri
 
Back
Top Bottom