Kuna ‘ Mtu ‘ ambaye ameshatumika vya kutosha nchini Malawi muda wowote kuanzia sasa ‘ anapotezwa ‘ kwa mbinu za ‘ Kimafia ‘ kwani ameshachokwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Nikiwa kama Mkazi wa hapa Lilongwe nchini Malawi ambapo naishi sasa kwa mwaka wangu huu wa 23 nimezipokea kwa furaha Kubwa sana kwamba Watu wenye Ujuzi wa ' Kimafia ' kutoka katika Idara 'Muhimu ' kuliko zote wanajiandaa muda wowote kuanzia sasa ' Kumpoteza ' Mtu mmoja ambaye kwa Siku za hivi karibuni ametokea Kumgombanisha sana Rais wa Malawi na Viongozi wake Wastaafu na hata wale walioko Madarakani kiasi cha Kumfanya huyu Rais wetu wa hapa Malawi azidi Kuchukiwa na Wananchi.

Mbinu ya awali kabisa ambayo imeanza Kutumika dhidi yake huyo ' Mtu ' ni Kwanza Kumuondolea Mtu ambaye ndiyo alikuwa akimpa Jeuri yote hasa hasa akiwa anamlinda ambapo kwa taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa huyu Mtu ameanza Kuogopa kuhusu Maisha yake na haamini dalili ambazo anaziona sasa.

Na ili kuonyesha kabisa kuwa hawa Mafia wa hapa nchini Malawi hawana masihara nae na wamemchoka kabisa japo walimvumilia mno ni kwamba Kwanza walimtumia huyu huyu ' Mtu ' wanayetaka ' Kumpoteza ' kwa Kumpa Pesa nyingi ili zimlevye halafu hapo hapo akatumwa Mafia mwingine ili amshawishi apeleke Msaada Jimbo la Waziri Mmoja hapa nchini Malawi ili ' wawagombanishe ' Kisiasa kisha iwe rahisi kwa huyo Waziri kutumia ' Mabavu ' yake ya hiyo Wizara huku akisaidiwa na hiyo Idara ya Mafia katika kutengeneza mbinu, mikakati na mipango ya Kummaliza.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani kabisa kutoka Idara ya Mafia hapa nchini Malawi zinasema kwamba tayari kuna ' Mitego ' mitatu ambayo ameshategwa nayo na kwa jinsi wanavyomjua ' Udhaifu ' wake hawezi ' Kuikwepa ' yote hivyo basi muda wowote wanakamilisha adhma yao ili Wamalawi waondokane na ' Upuuzi ' wake ambao umeshawakera Wamalawi wengi hadi Rais wetu wa Malawi hapa.

Na Mmoja wa hao Mafia ambaye huwa nabahatika sana kukutana nae katika Vijiwe vya Pombe Kali ( hasa Gongo ) hapa Malawi kasema kwamba kama wakimkosakosa katika Ajali mbaya na Kali ya Kutengenezewa ' Kiutaalam ' kabisa basi watamdaka katika Sumu ya Kummaliza taratibu huku akiwa anasoma Magazeti yake Mawili ambayo huwa anayapenda mno na wakimkosa hapo basi lazima tu kuna Watu ambao watakuwa katika Pikipiki watamvizia katika Foleni ya barabara anazopenda Kupita kila Siku na wakimkosakosa hapo basi atatumwa Mafia kisha ataomba Kuongozana nae mahala ( hasa katika Hoteli ) au hafla fulani kisha Mafia wengine watalianzisha Kimbinu na wakati wakiwa wanakimbia ama Yeye atapigwa Risasi asiyoijua imetokea wapi au Mafia watamgeuka na Kusema ni Mwizi kisha Wao na Watu wengine watakaokuwepo hapo watamchoma Moto na ndiyo utakuwa mwisho wake na Jeuri yake kwa wana Malawi wote ( ukiniondoa Mimi An Eagle Mtanzania tu pekee ) ambao wameshakwazika nae.

Jamani Watanzania wenzangu ya hapa nchini Malawi ni makubwa na siombei hata Siku moja nije Kusikia yanatokea huko Tanzania Kwetu kwani si mambo mazuri. Na Ujumbe pekee nilionao kwa Watanzania wenzangu huko ni kwamba naomba nanyi huko asije akatokea Mtu akajifanya anajipendekeza labda kwa Mamlaka ( Serikali ) au ametumwa nayo kama afanyavyo huyu ' Mtu ' hapa nchini Malawi kwani ' atapotezwa ' vibaya na hatoamini kabisa. Nisalimieni sana huko Tanzania na nawaomba nanyi basi msiwe mnaacha Kufuatilia ya hapa Malawi nilipo kama vile na Mimi ninavyopenda Kufuatilia mambo ya huko nchini Kwenu / Kwetu Tanzania.
 
Acha kufumbafumba, sema tuu ni Cyprian Musiba wa Tanzania na walio mchoka ni UWT.
Hizi za kuchongeana, kuvurugana na kuchafuana sisi wananchi hatuko interested sana ila tunataka tupate nafasi ya kushuhudia akilipa maumivu aliyotuletea alipotumwa Sept 7, 2017 pale Dodoma.
Hakika kwenye hilo tunataka malipo ya BLOOD FOR BLOOD no compromising.
 
Baada ya kuona ameonywa ndo na wewe unajifanya mtabiri!!!

Kwa taarifa,usizozijua ni kwamba!
Musiba tayari mission yake,ishakamilika!!

Bashite au Msiba?

Bahati mbaya hapa nchini Malawi hatuna Watu wenye Majina haya Mawili uliyoyataja hapa na sijui kama umeuelewa vyema huu Uzi wangu kwani nimeuletea ' Maalum ' kwa wale Watanzania wenzangu baadhi ambao tunaishi hapa Malawi na tunajua nini kinaendelea.
 
Kama hizi taarifa zimevuja wakati Rais Mutharika amemuapisha mkuu wa Idara nyeti juzi juzi basi bado hii idara haijakamilika
 
Acha kufumbafumba, sema tuu ni Cyprian Musiba wa Tanzania na walio mchoka ni UWT.
Hizi za kuchongeana, kuvurugana na kuchafuana sisi wananchi hatuko interested sana ila tunataka tupate nafasi ya kushuhudia akilipa maumivu aliyotuletea alipotumwa Sept 7, 2017 pale Dodoma.
Hakika kwenye hilo tunataka malipo ya BLOOD FOR BLOOD no compromising.

Naongelea ya hapa nchini Malawi Ndugu ya huko Tanzania hata siyajui na nashangaa kuona unalazimisha kuwa huu Uzi unahusu ya huko wakati si kweli na Maudhui yangu yote ni ya Kimalawi Kimalawi tupu. Mtafute aliyeko hapa Malawi kisha muulize haya niliyoyaandika hapa atakuelezea vizuri tu.
 
Back
Top Bottom