Ccm ndio wamesababisha .Acha siasa mkuu, hapo hakuna chadema wala ccm. Mwalimu kajiondosha kwasababh amefoji vyeti na katumbuliwa kazi hakuna. Sasa ya ccm yamekujaje hapo
Ni dumila o nyuma ya ofisi ya afisa TARAFA ya magoleNimeweka tayari hapo chini mkuu ila bado sijajua ni wapi hii
kanyongwa na kamba..upo sawaHuyo kanyongwa hajajinyonga
Unataka naye ajinyongeAlafu mnasema mkuu wa mkoa fulani aonyeshe cheti chake ohooo
Naye huyu kweli alikuwa bashite. Kutumbuliwa ndiyo mwisho wa maisha? Sasa kwa kujinyonga ndiyo anaiachia familia maisha mazuri au anaiongezea???? Tuwe wajasiri katika kila jambo linalotukuta hata kama gumu kumeza.Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
Hapana suwezi kuamini hicho kitu, ikumbukwe kuwa kuna maisha baada ya kuachishwa kazi. Angekuwa mwenye taakuna au msomi anaelewa mambo hata kamkafoji vyeti na kupigwa chini asingejinyonga wala nn angeamua kufait pembeni, tatizo wabongo tunakariri sana yani kisa umeajiriwa unafikiri maisha yako yote yatakuwa ajira tu. Haya kajinyonga ndio kusema watoto watakuwa na shibe? au watapata kazi nao kwa vyeti vya kughushi.Ccm ndio wamesababisha .
Why wawaache wengine kina badhite
Nasikia ni dumila huko morogoro lakin najaribu kutizama kwa makini huko kujinyong kwake sikuelewi elewi hivi au ni mie peke yangu?? Sio watu wame mdeal halafu wamepachika maneno hapo kweli!!! Maana kwa alivyo ninginia napata shida kama kweli kajinyonga mwenyewe huyoInasikitisha... Wapi hii. Habari hii itafichwa.. Mbaya sana kwa Serikali.
Kuna chaka flani kali Moro..... Matombo hukooNasikia ni dumila huko morogoro lakin najaribu kutizama kwa makini huko kujinyong kwake sikuelewi elewi hivi au ni mie peke yangu?? Sio watu wame mdeal halafu wamepachika maneno hapo kweli!!! Maana kwa alivyo ninginia napata shida kama kweli kajinyonga mwenyewe huyo