Kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia humu jf

Emojis

Senior Member
Jan 4, 2017
191
219
Habari wakuu leo nimejikuta nawaza kama kuna watu walishawahi kupata kazi kupitia jamii forumn mana muda mwingine naona kama napoteza muda kukodolea jukwaa hili la nafansi za kazi. Huwa nachungulia nikiwa na matumaini ya kupata kitu ila sijawahi fanikiwa, je wapo waliopata kazi jf bila connection?
 
Back
Top Bottom