Kuna mtu akiona hizi picha hata mikutano ya kampeni huenda anatamani aipige marufuku

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Haya ni mapokezi tu na hii ni ishara tosha kuwa kusahau matatizo ya wananchi na kuwekeza kwenye miundombonu pekee hakuwezi kuicha CCM salama.

Jengeni miundombinu lakini kamwe sio kuijenga kwa gharama vitu vingine muhimu kwa binadamu kama uhuru wa maoni, utu, maji, ajira,haki na usawa, maslahi bora ya wafanyakazi,n.k.

Tume kutokuwa huru hakutazuia wapiga kura kuwaonyesha hisia zao na mtajionea wakati ukifika.

Kuna sehrmu mkija kutaja Bombardier au Dreamliner, wanawanchi wanaweza kuguna kama sio kuzomea.

Tunahitaji miundombinu, tunahitaji ndege, tunahitaj treni ya umeme, n.k lakini kwa kuangalia na mahitaji mengine yanayogusa maisha ya kila siku ya watu mijini na vijijini.

Imeandikwa, mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa.........(malizia mwenyewe).



 
Natamani malaika angeshuka akafunga mitandao ya kijamii yote taarifa kama hizi zingekuwa chini ya kapeti! I wish I could be IGP!
 
Hivi kuna mwanasiasa aliwahi kulakiwa kwa bashasha na kubebwa juu kama Mhe. Lembeli enzi hizo akigombea Ubunge Kahama kwa tiketi ya Chadema?
 
Si mlisema upinzani unakufa? Alafu nenda jukwaa la uchaguzi ukaone hali halisi huko katika hilo jimbo.
Hao wahuni wa kudeki lami ndiyo unawategemea kweli wewe bado sana! Wangekuwa wakina mama ningekuelewa!!
 
They think gonna kill or rather weakening opposition by just buying these poor people. Ni dhambi kubwa...kununua haki.
 
Back
Top Bottom