thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 298
Inafurahishaaaa
Inafanana na africaans boereworsInafurahishaaaaView attachment 1640782
Babu natafta hii kitu iko maeneo gani? Nipe location ndimu ninazo.InafurahishaaaaView attachment 1640782
Au wa mbagaraHuu ni wa mburahati kigogo au manzese๐ ๐
Huwezi kula utumbo uongee point,lazima utaongea utumbo tu!Utumbo wa kuku
Hio ni Tanzanian Boerewors Uswazi EditionInafanana na africaans boerewors
Hii mbagara inapatikana wapi mkuuAu wa mbagara
Kama wewe ulivyo na akili za NyumbuHuwezi kula utumbo uongee point,lazima utaongea utumbo tu!
Tulia mama ya chuga! Hii mambo ni kwa wa dalisalade tuHii mbagara inapatikana wapi mkuu
Hahaahahah we fala umeniua mbavu ujue ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Huwezi kula utumbo uongee point,lazima utaongea utumbo tu!
Mzee wangu umeshaweka vyuku kule.njaa inaumaHuwezi kula utumbo uongee point,lazima utaongea utumbo tu!
Next Man njoo umchukue mchumba wako huku.Ameanza vituko!Kama wewe ulivyo na akili za Nyumbu
Nishatulia basta๐ ๐Tulia mama ya chuga! Hii mambo ni kwa wa dalisalade tu
Af jana nimekusubri kichiz, yule half kanzu hakukupa go ahead tu. Nilikuwa nshakula vitu vyangu ๐naskiliza na ngoma ya "Nakuja"๐๐Nishatulia basta๐ ๐