Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,590
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya utajiri, akasisitiza Watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu, shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli.

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena, walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada. nasi tunashangilia kweli kweli.

Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?

Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
 
Nyerere ndie aliyewapandikizia watz imani ya umasikini Ili awatawale,akiwaaminisha watz umasikini ni uzalendo, utajiri ni unyonyaji hakujua hata umasikini ni unyonyaji pia. Masikini azalishi kama azalishi anawanyonya matajiri kwa maana bila tajiri kulipa kodi masikini apati huduma.
 
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.
Je tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?
Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.

Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.

Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa.
FB_IMG_1634190166670.jpg
 
Nyerere ndie aliyewapandikizia watz imani ya umasikini Ili awatawale,akiwaaminisha watz umasikini ni uzalendo, utajiri ni unyonyaji hakujua hata umasikini ni unyonyaji pia.
Masikini azalishi kama azalishi anawanyonya matajiri kwa maana bila tajiri kulipa kodi masikini apati huduma.
Masikini akiwezeshwa hawezi lipa Kodi? Mbona tunapenda kuwasukumia marehemu matatizo yetu ikiwa tuna raslimali zote na utimamu wa akili?
 
Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.

Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.

Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Mkuu inaonekana unaeamini katika misaada,au nyie ni wanufaika binafsi wa hiyo misaada?,si hilo povu tutajikomboa kwa kufanya kazi na ubunifu ,sio misaada ,misaada mingine ndio maana tunaambiwa turuhusu na ndoa za jinsia moja , "wake up gay"
 
Mtaji wa tajiri ni masikini ndo maana kiongozi yeyote akianza kupambana na umasikini kwa vitendo kujikombos, ataitwa majina yote mabaya.

Aliyofanya Magufuli kwa miaka 5 Hilo ndo jibu kuwa hii nchi ni tajiri ila tuna viongozi masikini was fikra.
 
Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.

Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.

Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Mkuu huo sio msaada sema hujui serikali inavyofanya kazi ,hii mada kubwa sana ,hapa sio sehemu yake
 
Uko sawa mukuu sikuzote wafia nchi huitwa majina ya hovyo lakini kumbe ndiyo watu muhimu katika mataifa yao kama vile J.P.m kafanya mambo makubwa sana katika nchi hii mafisadi hawaoni wana pandikiza vijana kwenye mitandao ya kijamii kuhakikisha wana zima jina lake lakini hawata weza. kapandisha uchumi kwa mda mfupi hakupenda misaada yakijinga nchi kaiacha salama R.I.P.J.P.M
 
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?

Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA

Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,

Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.

Zama za MAGUFULI zimepita.

Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.
Je tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.

Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?
Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?

Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?

"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Tunakuwa masikini kwasababu ya Sera mbovu ambazo siyo shirikishi watu wachache wanajifungia tena wanapoteza pesa nyingi na muda 'ineffective policies or uncertainty policies' and herding behaviour (Unyumbu) Unyumbu ni Tabia ya wale viongonzi ambao tunadhani wanauwezo mzuri wa kufikirikiri huacha kuzitumia akili zao ,kwasababu ya uoga ama kutumikia kafiri,ama kikundi fulani.

Kwakinyakyusa tunaita:Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear of their leaders or a group (self -Absorbed group)
 
Katazame dini la taifa kutoka kwa mabeberu lilivyokuwa katika kipindi chake. Kalaghabao

Back
Top Bottom