Kuna mtaalam au mganga yeyote anayeweza kusaidia kupatikana kwa kitu kilichopotea?

just-imagine

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
374
448
... kuna kitu nimekipoteza halaf nakihitaji sana...
je kuna mtu anayeweza kunisaidia juu ya hili au anamjua mtu anayeweza kunisaidia aniunganishe naye...
natanguliza shukrani.
 
Lakini umejaribu kupekua vizuri hapo ndani hujakiona mkuu?jaribu kukibip au huna namba yake!?
 
Ndo mfano umeenda mpaka kwa mganga amekupa madawa yake na umemlipa halafu hiko kitu kikaonekania hapo Nyumbani. Achana na waganga tafuta mwenyewe
 
Mimi pia namtafuta mganga au nataka vunja chungu muda si mrefu ..kuna mtu aliniibia begi langu lenye laptop na vitu vya thamani nikiwa safarini tokea dom kupitia bbt .nimeumia sana na imepita miezi kadhaa sasa nimeshajipanga namtafuta huyogannga na pia jinsi ya kuvunja chungu maana sipendi ujingaimi
 
Back
Top Bottom