Kuna Msichana kaniandikia kihehe naombeni tafsiri wakuu

Me pia nimeona Hela nikajua lazima kuna biashara hapa wahehe sio wa kuchezea kwao HELA ni lugha ya kawaida ....
 
Hizi lugha nyingine unaweza kutukanwa ukadhani unasifiwa ningekua mm nimetumiwa hiyo SMS yenye neno hela ningemjibu baby nikutumie sh ngapi arafu natuma kumbe minetukanwa!!!
 
Amesema umpe hela vinginevyo atakuripoti kuwa wewe nimmojawapo wa madawa ya kulevya!
 
Back
Top Bottom