ha ha nitakimbiaNtakuangusa kweli Miss Chagga, shauri yako.
Ha ha ha Haaaa.. Ndiyo hivyo Mkuu.ha ha ha aaaa umeniacha mwana, wacha niendelee kuongea cha kwetu tu... hela ikitajwa mwili unakuwa mdogo.
Duuuhwiwona na vv wikimunu kumbe wikipvya hela be
Mkuu kuna sehemu umesema wahehe wana kiburi, mbona kwa kuishi nao sijawahi kuona hiko kitu?Ha ha ha Haaaa.. Ndiyo hivyo Mkuu.
hahaahaaa "pumbavu" sana weye umenichekesha sana ndugu....niangusage
kivumishi ha ha hahahaahaaa "pumbavu" sana weye umenichekesha sana ndugu....
NB; Hiyo pumbavu kwa muktadha huu siyo tusi... usininunie
Kumbe unaelewa haraka dadangu , natumai vile vyeti vyako havina fafafafafakivumishi ha ha ha
ya hesabu ipoKumbe unaelewa haraka dadangu , natumai vile vyeti vyako havina fafafafafa
Bee sijaelewaHujaelewa be?
Hahaaa siyo mbaya utakuwa ulisoma pale shuleni kwetu Kisale mwalimu wa hesabu hakuwepo ila upo vyema ...ya hesabu ipo