Hela inamaanisha "TU"- "only"Nimeona neno HELA
Ha ha ha haasaa.. Wachagga Bwana.daah ase mi nikajua ni maswala ya hela tena
Sasa na wewe andika meseji ya kiswahili hapa tuinconvert umjibu umshangaze,asee kumbe nimetukanwa
Umetukanwa na kabila au na demu uliyemkopa penzi?namimi nimejifunza hili kabila kumbe siyo kabs