Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

Kwa kweli ukiangalia swala ili Rose Kamili ana haki na kama Dr Slaa anataka kumuoa Josephine wamlipe Rose Kamili gharama zake.

Rose Kamali anasema walifunga ndoa na Dr Slaa 1985 mwaka 1987 walifanikiwa kupata mtoto wa kike anayeitwa Emiliana Muchu na baadae Sep 1988 walipata mtoto mwingine wa kiume anaitwa Linus Amsi..

Katika uhusiano wao Slaa, akiwa Padri alifanya taratibu zilizomwondosha katika Upadri na kuanza maisha ya familia, jamii yote iliwatambua kama mke na mume hata kumbukumbu za hati za kimataifa kama za kusafiria ziliwatambua wana ndoa.

Dr Slaa alimsaliti mwaka 2009 baada ya kuanza mahusiano na Josephine kinyume cha sheria. Kuanzia apo Dr Slaa akaitelekeza familia yake kwa kutoipatia huduma..

Pole sana Rose Kamili.
 
Sasa ndio nimeamini viti maalumu vya Chadema watu walipeana kwa mambo ya binafsi.

usipende kubwatuka kama hamnazo taja jina la mbunge wa viti maalumu na taja hayo mambo binafsi yaliyomzawadia ubunge bila hivo you are a nincompoop!!
 
Sina hakika kama unachotaka kujua ni kigezo kilichotumika, lakini kama ni hivyo, iliangaliwa elimu ya mgombea, mchango wake katika kukijenga/kukikuza chama nk. Nijuavyo, huyu mama alikuwa diwani wa CCM hadi 2010. Alipataje ubunge kwa kipindi kifupi alichojiunga na CDM inabaki kitendawili.

Mchango wake ni pamoja na kufungwa mdomo na Silaha ili asiseme haya tunayoyasikia leo maana angekiua chama wakati ule ! alutakontinua ... MAma songa mbele dai haki yako ya kuingiliwa ndoa yako na Josephine , mwivi wa wanaume wa watu , na slaa ni DHAIFU WA NAFSI. tujuze maana mengi tulikuwa hatuyajui. Rais mtarajiwa Bingwa wa kuzaa watoto wa nje. Kioo cha jamii hicho jamani ! what a president .
 
usipende kubwatuka kama hamnazo taja jina la mbunge wa viti maalumu na taja hayo mambo binafsi yaliyomzawadia ubunge bila hivo you are a nincompoop!!

Wewe nawe! unauliza wakati jibu lipo wazi, ni huyo Rose Kamili alipewa ili afungwe mdomo asiyaongee haya tunayoyasikia leo ! mie hakika nilikuwa sijui kama slaa alikuwa na mke , nimestushwa sana sana ! kuwa rais mtarajiwa mwivi wa wake za watu na festi ledi mtarajiwa nae ni mwivi wa waume za watu sasa unauliza kitu gani hapa?
 
Siasa hizo!!! Ukistaajabu ya Musa utayaonaya FIRAUNI. Wakati utafika kila kitu kitakaa wazi na maisha yataendelea!
 
Kwa kweli ukiangalia swala ili Rose Kamili ana haki na kama Dr Slaa anataka kumuoa Josephine wamlipe Rose Kamili gharama zake.

Rose Kamali anasema walifunga ndoa na Dr Slaa 1985 mwaka 1987 walifanikiwa kupata mtoto wa kike anayeitwa Emiliana Muchu na baadae Sep 1988 walipata mtoto mwingine wa kiume anaitwa Linus Amsi..

Katika uhusiano wao Slaa, akiwa Padri alifanya taratibu zilizomwondosha katika Upadri na kuanza maisha ya familia, jamii yote iliwatambua kama mke na mume hata kumbukumbu za hati za kimataifa kama za kusafiria ziliwatambua wana ndoa.

Dr Slaa alimsaliti mwaka 2009 baada ya kuanza mahusiano na Josephine kinyume cha sheria. Kuanzia apo Dr Slaa akaitelekeza familia yake kwa kutoipatia huduma..

Pole sana Rose Kamili.

Teh teh teh teh ... wanawake bhana ! mie nasikia kuwa hakunaga doa ya pili maana ukishaoa kanisani hakuna kufunga ndoa tena ! sijui kweli ! sasa hii ya padre slaa sijui itakuwaje !
 
Love DOESN'T End for the real LOVED ones!

Slaa_na_Rose.JPG

Slaa.jpg

Now, Tanzania is very advanced in relationship management! Our Government has discovered the LOVE software and the magistrates have exclusively been licensed to instal, maintain and repair Couples using this LOVE software. I hope from now we will witness lasting marriage living in happiness. To begin, I wish I would know why this software have not been first installed into Mzee Mkapa/Mama Anna marriage before pushing it into other clients like Dr. Slaa/Mama Rose Kamili, Mzee Wassira and so many big-shots?
 
​nani mzinzi kuliko kikwete?
Uzinzi uzinzi uzinzi! laana juu ya laana juu ya laana. Kwa Kanoni, kwa Sharia, Kwa Sheria kote kote ayafanyayo Slaa ni uzinzi tu.

Huyo ndio kuna wachache wanaoona hilo si kosa wanataka awe Rais wa nchi hii? Dah!
 
Hakuna katika makosa makubwa kama kuiba mke/mume wa mtu. Hii ni aibu ya karne kwa mtu eti aliyetaka aingine magogoni!
 
usipende kubwatuka kama hamnazo taja jina la mbunge wa viti maalumu na taja hayo mambo binafsi yaliyomzawadia ubunge bila hivo you are a nincompoop!!

Labda nikuulize wewe Rose Kamili alipewa ubunge kwa vigezo gani?
 
Wewe nawe! unauliza wakati jibu lipo wazi, ni huyo Rose Kamili alipewa ili afungwe mdomo asiyaongee haya tunayoyasikia leo ! mie hakika nilikuwa sijui kama slaa alikuwa na mke , nimestushwa sana sana ! kuwa rais mtarajiwa mwivi wa wake za watu na festi ledi mtarajiwa nae ni mwivi wa waume za watu sasa unauliza kitu gani hapa?
just another nincompoop!!
 
Labda nikuulize wewe Rose Kamili alipewa ubunge kwa vigezo gani?

Wewe ndio ulisema wanapewa ubunge maalumu kwa mambo maalumu ndio nilitaka uweke hapa hao wabunge na hayo mambo maalumu sasa unaniuliza mimi tena wakati wewe ndio umetoa tuhuma?? kweli JF imejaa tabula rasa wengi sana
 
Inaonyesha pia unatumika na kupotosha ndo nyinyi ndo mnaotumia pesa za walipa kodi vibaya (TISS) sababu mnaropoka kujifanya mnaijua chadema kuliko wananchama wake isivyotakiwa, tafadhali acheni kuingilia mambo ya chama cha CDM kiushabiki na kupotosha.Huwezi kutetea wanachama wa na viongozi wa vyeo vya kitaifa kumaliza migogoro yao mahakamani.Nani alikuambia mahakama ni mahala pa suluhisho la kweli la mambo binafsi?je akishinda kesi rose kamili ina maana aolewe na dr. slaa.hapa rose kamili anatumika kakurupuka.Hata kama anauchugu na anataka haki , hakuna njia nyingine zingetumika kupata haki yake?na je alifanya hivyo hata kupta wazee ndani na nje ya chama kupata haki ikashindikana?mambo mengine ni ya usuluhishi zaidi kuliko kuliko kukimbilia mahakam ya sheria.
mkuu mbona una uchungu sana? vp hapo kwenye red unauhakika gani hazikufanyika juhudi zingine nje ya mahakama kabla ya kufungua kesi?
 
Labda nikuulize wewe Rose Kamili alipewa ubunge kwa vigezo gani?
1.Aligombea jimbo la hanang akapata idadi kubwa ya kura ,tena baada ya nyie magamba kuzichakachua.
2.aliwezesha kupatikana madiwani 12 kati ya 26(ccm 13 na cuf 1) ,sehemu iliyokuwa na diwani 1 tu wa upinzani(cdm)
3.alifanya kampeni kubwa Dr.Slaa akaongoza kura za urais jimbo la hanang ,hata baada ya uchakachuzi wenu mlishindwa kumaliza kuziiba ,hasahasa baada ya Mary nagu kuchanganyikiwa kupoteza jimbo akajikuta anaconcentrate zaidi kuchakachua zake za ubunge.

baada ya kuwa mbunge....
1.muulize January Makamba kwenye Ripoti yake kutathmini hali ya kisiasa nchini na CCm kwenye Kamati kuu aliwaambia nini kuhusu Rose Kamili baada ya kuwavua Magamba viongozi wa ccm manyara,diwani wa ccm endasaki na kuvunja serikali za vijiji zaidi ya 13 kwa kuwavua magamba wenyeviti wa hivyo vijiji.
2.kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Endasaki alisimamia kampeni akachuku kata hiyo ,sasa hivi hanang anamadiwani 12.
3.muulize mwigulu nchemba kwenye kampeni Arumeru na Igunga Rose kamili aliwafanya nini kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa ,nyumba kwa nyumba...ndiyo utaipata majibu yake.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sipendi kuwaita wana CDM mbayuwayu ila nalazimika kuwaita hivyo. Hivi nyinyi mnataka kufanya siasa uadui hata watu wasipendane. ina maana mkichukua nchi mtawatenga wote wasio mbayuwayu. Mnatakiwa kukomaa kisiasa kama CUF
 
Uzinzi uzinzi uzinzi! laana juu ya laana juu ya laana. Kwa Kanoni, kwa Sharia, Kwa Sheria kote kote ayafanyayo Slaa ni uzinzi tu.

Huyo ndio kuna wachache wanaoona hilo si kosa wanataka awe Rais wa nchi hii? Dah!
Mbona tayari tuna rais mzinzi kupindukia hilo hulioni?
 
hana lolote huyo Rose,coz amezaa nae tu na hajawahi kufunga nae ndoa ss huko mahakamani anachotaka ni nn?km watoto ni watu wazima ss c o wadogo kusema wanahitaji matunzo!mbaya zaidi cku zote hizo alikuwa wapi?ha ha ha anataka kuwa First lady,amechelewa coz mapenzi hayalazimishwi
 
Back
Top Bottom