kuna miongoni mwetu umu jf bado tunaogopa kufanyiwa hivi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,202
813930_nurse20do20me20good_jpga8c0aa651aefaa98387145b9721659b2
813930_nurse20do20me20good_jpga8c0aa651aefaa98387145b9721659b2.jpeg 813930_nurse20do20me20good_jpga8c0aa651aefaa98387145b9721659b2.jpeg
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,769
4,032
kwani nlazima achome huko?
Mkuu utalatibu unaotumika ni kuchomwa nyuma,wewe unapendea kuchomwa mbele?au sehemu gani ya mwili wako ukichomwa hautajisikia maumivu?Umeshawahi kuchomwa nyuma mara ngapi?
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,298
1,552
Huo ugonjwa ninao hata mimi, yaani hata hapo nimesisimka mwili mzima, nakumbuka nikiwa kidato cha 2 niliandikiwa 5 ila niliishia 3 baada ya kuona nimepata nafuu nikasepa kwani hizo 3 nilipelekwa na ulinzi mkali ila nyingine wakaamini nitamaliza bt nikaishia kutia tiki mwenyewe,.......Loooh! Mungu atusaidie Waoga wa Sindano
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,352
66,296

Wewe hakika utakua ni mwoga wa VITU vyenye NCHA KALI...
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,298
1,552
Wewe hakika utakua ni mwoga wa VITU vyenye NCHA KALI...

Mimi naogopa sindano, yaani tangu kuanza kuifunga, kuweka dawa na hata kuchomwa....yaani hapo napata wakati mgumu sana, ktk jambo linalonifanya mtoto ni kuandikiwa sindano, ukubwani i.e nimeshaoa nilishawahi kwenda hosp doctor akaniandikia sindano nilimshawishi hadi akabadili tiba nikapewa vidonge ambavyo gharama ni kama mara 3 au 4 ya sindano ila mimi nilipata amani kutoka rohoni.....Chezea sindano wewe looooooooooooooooh!
 
Ila dawa ya sindano au dripu ndio tiba ya haraka ukilinganisha na vidonge
 
Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,414
Kinachowaogopesha watu kwenye sindano ni zile mbwembwe za maandalizi. Tena enzi zetu wakati tunachangia sindano za kuchemsha ndo ilikuwa balaa. Utakuta zimejaa tele kwenye beseni la maji ya moto. Mara nesi anachukua limkasi, anakorogakoroga halafu anaibuka na moja, anavuta maji ya moto halafu anayatoa kwa presha ya sindano. Akimaliza hapo anavuta dawa kwa mbwembwe, mara anaigongagonga sindano huku imeangalia hewani....yaani ikifika hatua hiyo utakuta dogo ashalala mbele.
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
weee nilazima uogope ujisikiaga ule msemo usemao njaa haina baunsa so inapo bidi lazizm ufanye hivyo kwani mwili sio gogo udungwe 2 alafu usisimuke
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,159
19,149
mi hadi leo usiniambie kitu hiyo..nipe midonge 1000 nitaibugia yote lakini sio sindano moja
 
Dotworld

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,018
3,739
Kinachowaogopesha watu kwenye sindano ni zile mbwembwe za maandalizi. Tena enzi zetu wakati tunachangia sindano za kuchemsha ndo ilikuwa balaa. Utakuta zimejaa tele kwenye beseni la maji ya moto. Mara nesi anachukua limkasi, anakorogakoroga halafu anaibuka na moja, anavuta maji ya moto halafu anayatoa kwa presha ya sindano. Akimaliza hapo anavuta dawa kwa mbwembwe, mara anaigongagonga sindano huku imeangalia hewani....yaani ikifika hatua hiyo utakuta dogo ashalala mbele.

Ha! ha! ha!
1275526362_large-syringe-and-small-ass.jpg
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,964
8,245
Mie pia hii kitu huwa naigopa sana na niliweza kukata zaidi ya miaka 10 bila kupiga sindano though ukipambana na ugonjwa unaohitaji sindano inakuwa no way na ndio maana kuna kipindi kulikuwa na ugonjwa wa uti wa mgongo ilibidi tu nichomwe lakini kama chanjo ingekuwa ni ya vidonge ningegoma
 
mimi na miaka 14 sijachoma sindano kwenye masaburi,nikichomwa sasa hivi naweza zimia uwiii sipat picha
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,358
11,568
kinachowaogopesha watu kwenye sindano ni zile mbwembwe za maandalizi. Tena enzi zetu wakati tunachangia sindano za kuchemsha ndo ilikuwa balaa. Utakuta zimejaa tele kwenye beseni la maji ya moto. Mara nesi anachukua limkasi, anakorogakoroga halafu anaibuka na moja, anavuta maji ya moto halafu anayatoa kwa presha ya sindano. Akimaliza hapo anavuta dawa kwa mbwembwe, mara anaigongagonga sindano huku imeangalia hewani....yaani ikifika hatua hiyo utakuta dogo ashalala mbele.
kweli mkuu umenena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom