Kuna mgao wa umeme nchini?

Tareeq

JF-Expert Member
May 3, 2010
828
407
Jana sehemu kubwa ya wilaya ya Ikungi haikuwa na huduma za Umeme na athari za hili kila mtu anafahamu ,, haikuishia hapo Usiku pia kuanzia saa 6na kwenda saa 7 umeme ukakatika mpaka sasa.haujarudi ni tukio gani limepelekea kadhia hii ? Ni mgao au ni nini
 
Tayari Majizi Yapo China Yanaweka Order Za Generator Ili Baadaye Watuuzie. Ujanjaujanja Upo Tanzania
 
Back
Top Bottom