Kuna mfanyakazi wa ndani alikuwa anawaambia watu anasoma UDSM

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,121
7,886
Based on a true story......

Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!

Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?

Hili jambo lilinifikirisha sana.
 
We jamaa ni mkuda kuliko maelezo...
Yaani uje upost utumbo huu kuhusu hg wako wewe ni wa hovyo mno ...
BTW akiweka hivyo wewe kinakuuma nini wakati graduate zaidi yq 100k hawana kazi wapo tu mtaani hata ya kufagia wa natamani. ..
I know your intentions ni kutaka kuonesha UDSM ni ya hovyo ...nenda Conas na Coet usome ka course kamoja tu urudishe mkia hapa
 
Based on a true story......
Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!
Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?
Hili jambo lilinifikirisha sana.
Ilikuwa unataka umtafune lakini alikukataa kwani alikuwa anakuita baba, acha wivu unaokupelekea umchunguze. Hata hivyo mbona fb wengi sana wanawekwa vyuo vikuu!
 
Based on a true story......

Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!

Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?

Hili jambo lilinifikirisha sana.
Hayuko peke yake wako wengi sana mbona mpaka mabamedi
 
Based on a true story......

Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!

Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?

Hili jambo lilinifikirisha sana.
Hakika wewe kiboko! Unadukua simu ya H/Girl????
 
Based on a true story......

Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!

Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?

Hili jambo lilinifikirisha sana.
Mbona swanu tu...kuna wahudumu wa baa flani dom walikua wanjitambulisha kua wao ni wanachuo wa chuo chetu kile cha kule nyuma ya milima dom.
 
Based on a true story......

Nilikuwa na beki tatu mmoja nilimtoa kwao huko mkoani. Siku moja wakati bado yuko kwangu nikaingia facebook nikamsechi. Profile yake akawa ameandika anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam!

Nikajisemea hivi UDSM imeshuka thamani kiasi hiki hadi mtu anadiriki kudanganya kuwa anasoma pale wakati kutwa kazi yake ni kupiga deki, kufagia, kufua, kupika na kulala?

Hili jambo lilinifikirisha sana.
mkuu kweli unaingia facebook kumtafuta housegirl wako. kapimwe akili
 
Back
Top Bottom