Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Jf kuna kila aina ya kiumbe, hivi naanzaje kutongoza picha au avatar! Yani mtu asiejulikana! Wakati uku mtaani akina Amina na Ashura wapo tele, tena misambwanda ya kujichagulia ctamtongoza member wa jf hta aweke avatar gani sbbu unaweza ukamtongoza mdogo wako au Dada yako bila kujua
 
Ha ha ha haaaaa... Pole Mkuu, hivi mtu unaanzaje kumtongoza mtu uliekutana nae kwenye mtandao??

Siku akitamtu PM kukutongoza mwambie kuwa "hii ni ID ya Taasisi tunaitumia kwa shift"
 
Jf kuna kila aina ya kiumbe, hivi naanzaje kutongoza picha au avatar! Yani mtu asiejulikana! Wakati uku mtaani akina Amina na Ashura wapo tele, tena misambwanda ya kujichagulia ctamtongoza member wa jf hta aweke avatar gani sbbu unaweza ukamtongoza mdogo wako au Dada yako bila kujua
Au mwanaume mwenzio
 
Si ndo apo kuna wanaume wanatuaibisha kabisa yaan mtu anatongoza kwa kuangalia avatar ...!
 
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Wacha we!
Ungemwambia akubembeleze na akwambie maneno mazur ili umlegezee kidogo!
 
Wengine wanakutangazia kashfa, mara "nishamla yule, hajui kukataa,mbayaaaa nk".

Huwa sielewi ni utoto,umama,udwanzi au ni nini. Puuzia tu.
 
Yalishanikuta hayo, huwa nabonyeza button ya ignore, ila haichukui mda inakuja id mpya tena.
 
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.

Ambaye hajawahi kukataliwa ni yule ambaye hajawahi kuomba.
 
Yalishanikuta hayo, huwa nabonyeza button ya ignore, ila haichukui mda inakuja id mpya tena.

Labda ni mpya kweli isiyofungamana na ile iliyokataliwa. Lakini nijuavyo mimi huna haja ama ulazima wa kubonyeza kitufe cha ignore.

Hivi ukiamua kuwa kimya kwa mfano, hakuna kumjibu PM or vyovyote vile, mfululizo, naamini ataacha mwenyewe tu
 
Wengine mnao watupia mistari ni wanaume wenzetu..
Tofauti ni majina ya kike na avatar...
Msikurupuke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom