Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Pole kwa usumbufu ila utakua umemkabalia bila ustaarabu mbona angekuelewa!
 
Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Kukataliwa kunauma kuliko uchungu wa mtoto wa kiume!!! Usione tumekaa kimya, tunakumind in background
 
Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Sky eclat kweli umevurugwa "ukweni, kujataliwa"?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom