Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Kashfa haimaanishi ni ukweli.
Si kweli kwamba kazima Bunge?

Si kweli kwamba anambeba Bashite?

So kweli kwamba hakutaka wabunge wakamsabahi Lema?

Si kweli kwamba Nape alikua under gun point?

Si kweli kwamba alitaka kufuta TLS?

Si kweli kwamba Alisema atakua ni Rais wa wanyonge lakini Sasa Amekua ni wa atakaeleta fyokofyoko kukiona cha mtema kuni?

Si kweli kwamba Alisema tuchangie Wanabukoba then akatugeuka?

Si kweli kwamba yapo mengi ila sijaandika?
 
Ha ha haaa.. ni mkopo Mkuu, yeye hua hapokei misaada serikali yake inapesa sana.

Hivi zile ndege zingine mbili kubwa zishalipiwa CASH?
Zile ndio tupo kwenye mchakato wa kuzilipia after all tuna pesa nyingi za kigeni from WB. Hatutajali kuanguka kwa thamani ya pesa yetu, tutalipa dollars in cash!
 
Si kweli kwamba kazima Bunge?

Si kweli kwamba anambeba Bashite?

So kweli kwamba hakutaka wabunge wakamsabahi Lema?

Si kweli kwamba Nape alikua under gun point?

Si kweli kwamba alitaka kufuta TLS?

Si kweli kwamba Alisema atakua ni Rais wa wanyonge lakini Sasa Amekua ni wa atakaeleta fyokofyoko kukiona cha mtema kuni?

Si kweli kwamba Alisema tuchangie Wanabukoba then akatugeuka?

Si kweli kwamba yapo mengi ila sijaandika?
Yote haya ni porojo tuu
 
Hivi kwa nini hawakuwataja walioleta hayo magari wakisingizia ni mitumba ya viatu? Kwani bill of lading ilikuwa inasoma ni Mali za nani?

Mkuu;
Tunapotunga senema huwa tunaamini kila mtu atawaza kama tunavyotaka sisi. Swali lako jijibu tu mwenyewe kwani mtunzi hakutukumbusha hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom