Kuna mechi ya kirafiki Tanzania vs Mozambique Leo?

Nadhani itakuwa imekosewa au inamaanisha mchezo mwingine na si soccer coz kwa mujibu wa tovuti ya tff hakuna mechi leo kwa timu ya taifa (taifa stars, twiga stars, kilimanjaro stars, serengeti boys & Ngorongoro heroes) ila kesho j2 ndio kili stars inakipiga fainali na ivory coast kwenye kombe la tusker challenge cup.
 
Back
Top Bottom