Kuna mdada ananichunguza sana na ana wivu na mimi sina mahusiano naye na hataki tuwe na mahusiano

Niulize mimi ambaye nilifikwa na jambo kama hilo.
Hataari....
Naombeni ushauri,

Kuna mdada fulan nafanya naye kazi, akiniona nasimama na mdada mwingine anakasirika badae ananiita ananiuliza kwanini naongea na Yule dada.

Nimemtongoza amekataa ananiambia wanaume sio waaminifu ni walewale, akinipigia simu nisipopokea anakasirika na kunilaumu kwanini sipokei simu yake iwe usiku na iwe mchana

Nilimwambia tufanye mapenzi amekataa anasema hajaona faida yoyote, sasa huyu dada anaendelea kunisumbua ana wivu wa kupitiliza kwangu, anataka anifuatilie popote nilipo nimpe taarifa ajue na ninafanya nini huko

Aasa simuelewi, nimemwambia awe mtu wangu amekataa anasema anataka awe ana nicontrol tu nyendo zangu na hataki anione nina mahusiano na mdada yeyote Yule mwisho kabisa amenambia niwe naenda kwake kila j2 apike chakula tule wote, j2 iliyopita nilienda kwake akanifungashia mchele kilo 8 nipeleke nyumbani ila nilijaribu sana ili nisafishe rungu kanibania kakataa katu na amenambia hatakaa anipe.

Kuna kipindi kama wiki 3 hivi nilikataa kupokea simu zake wala kuonana naye basi ulikuwa ugonvi mkubwa sana.

Naomba ushauri kwa aliyewahi kukutana na msichana kama huyu atusaidie kujua alifanyaje na ashauri nini kifanyike.
 
Binafsi

Binafsi sioni Kama nitatizo demu kukataa kukuvulia chupi,ikiwa yeye anaitaji kuwa kalibu yako ilihali hamna mausiano yoyote wewe mchukulie poa,mpe nafasi inawezekana sikumoja akabadili mawazo yake ukamilikishwa mzigo
 
Naombeni ushauri,

Kuna mdada fulan nafanya naye kazi, akiniona nasimama na mdada mwingine anakasirika badae ananiita ananiuliza kwanini naongea na Yule dada.

Nimemtongoza amekataa ananiambia wanaume sio waaminifu ni walewale, akinipigia simu nisipopokea anakasirika na kunilaumu kwanini sipokei simu yake iwe usiku na iwe mchana

Nilimwambia tufanye mapenzi amekataa anasema hajaona faida yoyote, sasa huyu dada anaendelea kunisumbua ana wivu wa kupitiliza kwangu, anataka anifuatilie popote nilipo nimpe taarifa ajue na ninafanya nini huko

Aasa simuelewi, nimemwambia awe mtu wangu amekataa anasema anataka awe ana nicontrol tu nyendo zangu na hataki anione nina mahusiano na mdada yeyote Yule mwisho kabisa amenambia niwe naenda kwake kila j2 apike chakula tule wote, j2 iliyopita nilienda kwake akanifungashia mchele kilo 8 nipeleke nyumbani ila nilijaribu sana ili nisafishe rungu kanibania kakataa katu na amenambia hatakaa anipe.

Kuna kipindi kama wiki 3 hivi nilikataa kupokea simu zake wala kuonana naye basi ulikuwa ugonvi mkubwa sana.

Naomba ushauri kwa aliyewahi kukutana na msichana kama huyu atusaidie kujua alifanyaje na ashauri nini kifanyike.
mkuu mvumilivu hula mbivu.

mpe muda uone plans zake juu yako zitakapokomoea.
 
Back
Top Bottom