Kuna mawaziri watakufa muda wowote

Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA
yapo mkuu... Umesahau tb joshua? Au kwasababu dini tofauti?
 
Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA

Habari njema hizi, tutaufanyia kazi utabiri.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom