Kuna Mawaziri, TIC,na baadhi ya watendaji wanamkwamisha Mh Rais Magufuli

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Ukimskiliza Mh Rais Magufuli leo akizungumza kwa uchungu jinsi wawekezaji ambao wanataka kuwekeza kwenye kiwanda cha sukari wanavyokutana na mkwamo .

Baadhi ya Mawaziri,Kituo cha Uwekezaji na baadhi ya watendaji wanadhamira ovu nayo kukwamisha juhudi za Mh Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli usiwe na simile na Waziri au mtendaji yoyote yule ambae ni kikwazo katika kutatua changamoto katika majukumu yake ya kazi

#JPM KIOO TUELEKEACHO

Alex Fredrick
Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyevaa kiatu ndiye anayejua kinavyombana.

Unaweza kuharakisha ukaishia kuambiwa umekiuka utaratibu...ni wa kuwaombea tu Mungu.
 
Ukimskiliza Mh Rais Magufuli leo akizungumza kwa uchungu jinsi wawekezaji ambao wanataka kuwekeza kwenye kiwanda cha sukari wanavyokutana na mkwamo .

Baadhi ya Mawaziri,Kituo cha Uwekezaji na baadhi ya watendaji wanadhamira ovu nayo kukwamisha juhudi za Mh Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli usiwe na simile na Waziri au mtendaji yoyote yule ambae ni kikwazo katika kutatua changamoto katika majukumu yake ya kazi

#JPM KIOO TUELEKEACHO

Alex Fredrick
Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli awatungue tu,hakuna namna
 
Hadi kufikia wewe Lumpen kujua udhaifu wa hao watu wa TIC (kama ni kweli), unadhani Mh Magu atakuwa hajapata taarifa bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aliyoyaongea namba moja leo basi kada mkongwe na waziri wa ardhi ajiandae kutumbuliwa. Nanukuu "Wizara ya ardhi wamekuwa watu wa maneno na mipango mingi kuliko utendaji " ni bashite style hii sound nyingi kuliko kumaliza matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utendaji kazi kwa mazoea ni janga nchini ,mpaka wasimamiwe au maagizo toka juu!, hapo ndiyo mambo yanaenda hata kama sheria ziko wazi na muda na mipango IPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimskiliza Mh Rais Magufuli leo akizungumza kwa uchungu jinsi wawekezaji ambao wanataka kuwekeza kwenye kiwanda cha sukari wanavyokutana na mkwamo .

Baadhi ya Mawaziri,Kituo cha Uwekezaji na baadhi ya watendaji wanadhamira ovu nayo kukwamisha juhudi za Mh Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli usiwe na simile na Waziri au mtendaji yoyote yule ambae ni kikwazo katika kutatua changamoto katika majukumu yake ya kazi

#JPM KIOO TUELEKEACHO

Alex Fredrick
Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajikwamisha mwenyewe bwana Jiwe kwa kuvuruga mifumo aliyoikuta na kuleta mikanganyiko.....huku TIC kule wizara ya uwekezaji...Full mkorogo.

Enzi ya Msoga....FDI zilikuwa zinamiminika lakini sasa mnatukana watu na pesa zao....nani anataka upumbavu huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
https://www.thecitizen.co.tz/News/-...uthorities/1840340-5068598-115ks2a/index.html

Wanajikwamisha wenyewe including mamlaka ya teuzi pale unaposoma zaidi ya sh/billion 335.41 zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya serikari za mitaa zimerudi hazina kisa tu huko wamejaa incompetent leaders wasioweza kuwa multi tasked, poor planning na clearly awawezi kwenda na kasi ya serikari ya sasa wanachojua wao ni kuonekana kwenye camera wakifoka. Speed ya kazi hakuna, hizo hela zingezimetumika ipasavyo sasa hivi serikari si ingeongeza majigambo.
 
Back
Top Bottom