Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wanabodi.
CHADEMA kuna mtifuano mkubwa sana baada tu ya matokeo ya uchaguzi wa viongozi (Mwenyekiti) wa Kanda kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema December 18,2019.
Nimeona akina Msigwa , Matiko , Nyarandu wamepeta...
Kuna minong'ono mingi sana Heche na Sumaye kupigwa chini.
Swali la Msingi:
Kuna maslahi gani ukiwa Mwenyekiti wa Kanda ndani ya CHADEMA ? Hapana naamanisha maslahi kiuchumi na kisiasa.
Wenye uelewa tafadhari.