Kuna mantiki gani TBC kuahirisha kutangaza shughuli za bunge ili tukaone IGP mpya akiapa?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Naomba tujiulize tu wakuu, Hivi sasa shughuli za Bunge zimeahirishwa kurushwa TBC ili tu tukasikilize IGP mpya akiapa.

Hii ina make sense kweli, Au ndio Ule mhimili wenye mizizi iliyojikita zaidi unazidi kujikita?
 
NADHANI TBC KUNA WATU WENYE ELIMU NA TAALUMA YA KUTOSHA.WANAJUA WANACHOKIFANYA.
KAMA HUJARIDHIKA KAOMBA KAZI YA KUWA MENEJA VIPINDI
 
Naomba tujiulize tu wakuu, Hivi sasa shughuli za Bunge zimeahirishwa kurushwa TBC ili tu tukasikilize IGP mpya akiapa.

Hii ina make sense kweli, Au ndio Ule mhimili wenye mizizi iliyojikita zaidi unazidi kujikita?

Na ndiyo maana kwa Uungwana tu wa TBC1 wametangaza kuwa matangazo ya Bunge yataendelea TBC2 hivyo sioni tatizo lolote hapo labda tu uwe ni muendelezo wetu wa Siasa zetu za Kiuanaharakati na za Kipumbavu ambazo hazina tija yoyote kwa Maendeleo ya nchi. Watanzania tupunguze kuwa na lawama zingine za ki hovyo hovyo hasa kwa mambo au masuala ambayo ni mepesi tu.

Leo nawatetea TBC1 kwa nguvu zote juu ya hili. Hata hivyo ndiyo maana TBC wakawa na Channels mbili kwani zinasaidia kufanya mabadiliko ya Vipindi vyao hasa kutokana na umuhimu au unyeti wa tukio ambalo lipo mbele yao / yetu. Tunafaidika kote kote kule TBC2 Bunge Live na huku TBC1 Ikulu live na hakuna tatizo hapo.

Tuwe Wanaharakati wenye tija na siyo Wanaharakati wa hovyo hovyo.
 
Na ndiyo maana kwa Uungwana tu wa TBC1 wametangaza kuwa matangazo ya Bunge yataendelea TBC2 hivyo sioni tatizo lolote hapo labda tu uwe ni muendelezo wetu wa Siasa zetu za Kiuanaharakati na za Kipumbavu ambazo hazina tija yoyote kwa Maendeleo ya nchi. Watanzani tupunguze kuwa na lawama zingine za ki hovyo hovyo hasa kwa mambo au masuala ambayo ni mepesi tu.

Sio watanzania wote wana TV au wako kwenye TV, Wengi wanatumia radios
 
Hao Watanzania wako na wao hawajui maana ya neno Dharura? Vile vile tambua ya kwamba wapo Watanzania wengine pia wanataka kumuangalia IGP Mpya hasa kutokana na umuhimu wake katika suala zima la Ulinzi na Usalama wao. Narudia tena kusisitiza sometimes tuwe logical na tuache kuwa na Uanaharakati wa Kipumbavu. Kitu cha dakika 5 hadi 10 halafu Bunge Live linaendelea lina athari gani kivile? Haya hilo Bunge Live lako limerudi tena sasa TBC1 endelea kutiririka na kuserereka nalo.
 
Na ndiyo maana kwa Uungwana tu wa TBC1 wametangaza kuwa matangazo ya Bunge yataendelea TBC2 hivyo sioni tatizo lolote hapo labda tu uwe ni muendelezo wetu wa Siasa zetu za Kiuanaharakati na za Kipumbavu ambazo hazina tija yoyote kwa Maendeleo ya nchi. Watanzani tupunguze kuwa na lawama zingine za ki hovyo hovyo hasa kwa mambo au masuala ambayo ni mepesi tu.

Leo nawatetea TBC1 kwa nguvu zote juu ya hili. Hata hivyo ndiyo maana TBC wakawa na Channels mbili kwani zinasaidia kufanya mabadiliko ya Vipindi vyao hasa kutokana na umuhimu au unyeti wa tukio ambalo lipo mbele yao / yetu. Tunafaidika kote kote kule TBC2 Bunge Live na huku TBC1 Ikulu live na hakuna tatizo hapo.

Tuwe Wanaharakati wenye tija na siyo Wanaharakati wa hovyo hovyo.

Umewaza na kuandika vizuri,harakati hazipaswi kuondoa uzalendo na mahitaji ya watu wengine. Kama yeye haoni matiki ya TBC kuonyesha hilo watanzania wengine wanafurahi na wengine na kujifunza kwa kuona hilo tukio.
 
Tatizo la Tanzania kila mtu ni mtaalamu na mshauri kwa kila sekta....
 
Na ndiyo maana kwa Uungwana tu wa TBC1 wametangaza kuwa matangazo ya Bunge yataendelea TBC2 hivyo sioni tatizo lolote hapo labda tu uwe ni muendelezo wetu wa Siasa zetu za Kiuanaharakati na za Kipumbavu ambazo hazina tija yoyote kwa Maendeleo ya nchi. Watanzani tupunguze kuwa na lawama zingine za ki hovyo hovyo hasa kwa mambo au masuala ambayo ni mepesi tu.

Leo nawatetea TBC1 kwa nguvu zote juu ya hili. Hata hivyo ndiyo maana TBC wakawa na Channels mbili kwani zinasaidia kufanya mabadiliko ya Vipindi vyao hasa kutokana na umuhimu au unyeti wa tukio ambalo lipo mbele yao / yetu. Tunafaidika kote kote kule TBC2 Bunge Live na huku TBC1 Ikulu live na hakuna tatizo hapo.

Tuwe Wanaharakati wenye tija na siyo Wanaharakati wa hovyo hovyo.
Yaani GENTAMYCINE kuna siku zingine unaandika vitu "vitamu" utadhani sio wewe!!! kama hii comment umeandika hadi nikiisoma najihisi raha sana
 
Sitabiriki na sipendi Kutabirika. Nipo kama Mvua siku nyingine ikija inaleta neema na siku nyingine ikinyesha tu inaleta maafa na huyo ndiyo GENTAMYCINE. Yaani hivi mnavyochanganyikiwa na Mimi na ninavyowapelekesheni puta hadi mnaniwaza na kunichambua bila kupata mwafaka ndiyo furaha yangu kubwa sana. Nikushauri tu Mkuu kuwa Upendo wako Kwangu jitahidi uwe tu wa 50 / 50 na usinipende au kunikubali kwa 100% kwani najua kuna siku zingine naweza nisikufurahishe na nikakuudhi.

Hata hivyo natambua uwepo wako na akhsante kwa compliment yako Kwangu.
 
Back
Top Bottom