covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,863
- 10,568
Ila
Ila yule mhe. Sijawahi kumuelewa kabisa alipewa shavu la kuwa naibu waziri wa afya baada ya kupinga vikali bungeni chanjo na lockdown ila sasa yeye Tena ndio Kawa mstari wa mbele kutetea chanjo ..njaa hizi zinatudhalilisha Sana.Sasa Dr Mollel na Steve Nyerere wana tofauti gani?