Kuna mambo inabidi tukubali ukweli tu.!

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana nzengo.!

Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia .

Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa peke ake kw mwanaume labda mpk shetani aokoke .!

Kwa sasa nimetulia nikijaribu kuset mind yangu kuwa mim n mchepuko wa kila manzi yangu .! Ili nisijee nikalia na kusaga meno mtoto wa mwenzenu.

NB : mniombee kwa changamoto zozote nitazokutana Nazo.
 
Back
Top Bottom