Kuna majaji wa Magufuli wamekuwa judges/ Justice of appeal bila sifa zilizoinishwa kisheria, tunafanyje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,179
73,623
Kuandika hukumu ya kiswahili, tayari ni JA, Is this acceptable within the ambit of the governing law?
Tunafanyaje?
 
Tufanyeje...? Sisi ni akina nani..! Vyombo/Mamlaka zinavyohusika vinao Wajibu iwapo kuna ulazima Wa Kurekebisha...! Mie Leimani na Weye bwashee tufanyeje.

Mbaya Zaidi na Bungeni Kuna Watu Wanakususia ambako ndio platform za kutuwakilisha Watu kama sisi Walei.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom