Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 989
- 3,487
Kuna maiti 1,500 za Warusi ambazo hazijachukuliwa katika vyumba vya kuhifadhia maiti huko Dnipro - naibu meya
Naibu meya wa mji wa Dnipro Mikhail Lysenko, anasema vyumba vya kuhifadhia maiti vya jiji hilo vimejaa miili ya wanajeshi wa Urusi ambayo haijachukuliwa na jamaa zao.
Lysenko amesema jokofu nne zilijazwa zaidi ya maiti mia moja na kumi na tano.
Ameongeza kuwa maafisa wa jiji hilo hawakutaka kuwachoma moto au kuwazika katika makaburi ya halaiki.
Lysenko ametoa wito kwa akina mama wa wanajeshi hao walioko Urusi kuzungumza na makamanda ili ndugu jamaa na marafiki waje kuchukua jamaa zao.
BBC