Kuna mahusiano yeyote kati ya Al-Shaabab na Pesa ya Osama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mahusiano yeyote kati ya Al-Shaabab na Pesa ya Osama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Oct 27, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Najaribu kufikiria kama kikundi cha Al-Shaabab kilifadhiliwa na yule marehemu gwiji wa ugaidi aliyezikwa baharini ? Sababu kubwa hili kundi la Al-Shaabab linazidi kushamili, kwenye ukanda wa Afrika mashariki, wananunua majumba na kujenga misikiti kila kona. Inasemekana ile misikiti iliyojengwa kando ya bara bara toka Dar hadi Mbeya kwenye vituo vya mafuta ni pesa ya sheikh Osama na hawa jamaa Al-Shaabab.

  Kama taifa tuchukue hatua.
   
Loading...