Kuna mahusiano ya karibu sana vyuo vikuu kufungua mwezi wa 11 na siasa

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,286
2,199
Mwaka huu wanafunz wengi watakosa mkopo, kuepusha watu kupiga kura kwa upinzani kutokana na watoto wa masikini kukosa mkopo ambao ni mtaji mkubwa sana kisiasa kundi hili la masikini badala yake itachelewesha kutoa majina ya wanafunz waliopata mkopo mpaka uchaguzi ufanyike. Ili swala lazima liangaliwe kwa umakin notes zilitolewa mapema kupelekwa vyuon kuwaambia vyuo vyote vifunguliwe mwezi wa 11 wakati miaka yote kila chuo kilikuwa na Muda wake wa kufunguwa pasipo kuingiliwa, inakuwaje mwaka vyuo vilazimishwe kufunguo mwezi 11?
 
Back
Top Bottom