beevenom
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 313
- 428
Naomba kupata ufahamu kutoka kwenu great thinker chimbuko la watawala hawa (Kagame na Mseveni), kutokana na story za mtaani inasemekana walikuwa wamoja katika harakati mbalimbali.
Naombeni kufahamu zaidi maana naona hata itikadi zao zinaendana.
Karibuni wajuvi wa mambo
Naombeni kufahamu zaidi maana naona hata itikadi zao zinaendana.
Karibuni wajuvi wa mambo