Kuna mahali Malisa GJ amekosea

Mkuu upo sahihi sana kwenye hili.
Watu wengi sana wanajisahau kwa tukio la siku moja au kwa tukio la dakika 90 kama ushabiki wa mpira...
Tukiongelea Malisa Gj

Kaajiriwa? Kusaidia jamii labda wanaochanga ni waajiri wake?

Kuchangia ni lazima?

Unampangia asifanye nini ns afanye nini kwenye maisha yake?

Kila mtu ana uamuzi wake.
 
Tukiongelea Malisa Gj
Kaajiriwa? Kusaidia jamii labda wanaochanga ni waajiri wake?
Kuchangia ni lazima?
Unampangia asifanye nini ns afanye nini kwenye maisha yake?
Kila mtu ana uamuzi wake.
Tatizo lako umeingia kwa speed kali bila kusoma na kuelewa kinacho zungumzwa
 
Mbona ni mwana-chadema?
Mpira kaanza kushabikia jana?
Huyi follower wake ndo kakerekwa jana?
Miaka yote ana unazi wa Mpira na siasa!

Umekurupuka.
 
Naam wanajamvi,

Leo katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na post ya huyu maarufu Malisa GJ ameandika mambo machache kuhusu follower wake mmoja kum block kisa ameudhika na ushabiki wake kwa Simba Sports Club. Kwahiyo huyo follower pamoja na kum-block akaongeza kuwa hata changia tena zile challenges zake(?)!...
Mbowe ni chadema ila mshabiki wa Yanga
Bashite = Simba

mpira sio uadui
 
Nadhani kabla ya kumkaripia mleta uzi ungeanza kufuatilia nini amemaanisha bila kuweka ushabiki mbele.
hakuna kitu hapo mkuu. tukubaliane kutokukubaliana. Follower wako anawezaje kukupangia mpaka timu ya kushabikia au mambo binafsi? Ni mawazo finyu tu, tuwe na uvumilivu na machaguo ya wengine. Mo Dewji na Manara ni CCM damu,wapo huru na haiwezi kunifanya eti nisiwaunge mkono kimichezo kwa sababu ya uCCM wao. Kule jukwaa la michezo tukiwa na kina jane Lowasa tunaongea lugha moja tukiwa huku tunakinzana. Ndiyo maisha
 
Nimekuelewa kiongozi
 
Back
Top Bottom