Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B. Mmoja kaandikiwa wastani wa "A" mwingine "B"

Giambatista Vico

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
357
121
Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B mmoja kaandkiwa wastani wa "A" mwingine "B" na wote wamepata hizo alama katika masomo sawa.
Karbuni kwa uafafanuzi wajuzi.
 
Mmoja atakua na penati hapo.

I mean kama vile form 6 ukifeli GS unapunguziwa daraja
 
Sasa wewe unajua A ya ngapi wamepata hao????Mmoja akipata 90 ni A mwingne akipata 81 ni A lakini wakitafuta wastani Huyo wa 90 atakuwa juu na anaweza bakia A na huyu wa 81 akavutwa B...Simple Sana
Kipengele gani kinafananua hivyo. A ni A tu man
 
Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B mmoja kaandkiwa wastani wa "A" mwingine "B" na wote wamepata hizo alama katika masomo sawa.
Karbuni kwa uafafanuzi wajuzi.
A na B ni madaraja sio maksi moja moja.

Mmoja atakua amepata A nzuri na B zinazokaribiana na A ndio maana wastani umebaki A.Huyo mwenye wastani wa B itakua A zake ni ndogo(zipo karibu na B) na B zake ni ndogo sana(karibu na C) hivyo wakikokotoa wastani unakua B.

Mfano:Chukulia A ni 81-100 na B ni 61 hadi 80;

Ukiwa na A ya 90 na B ya 80, wastani wako ni A ya 85(80+90 gawanya kwa 2).Una A na B ila wastani ni A

Ukiwa na A ya 82 na B ya 70, wastani wako ni B ya 76(82+70 gawanya kwa 2).Una A na B ila wastani ni B.
 
umemaliza
 
Ufafanuzi mzuri sana,Ila kwa wabongo tulivyo bado mtu ataendelea kubisha tuu hapo ,
 
A na B ni madaraja sio maksi moja moja.

Mmoja atakua amepata A nzuri na B zinazokaribiana na A ndio maana wastani umebaki A.Huyo mwenye wastani wa B itakua A zake ni ndogo(zipo karibu na B) na B zake ni ndogo sana(karibu na C) hivyo wakikokotoa wastani unakua B.

Mfano:Chukulia A ni 81-100 na B ni 61 hadi 80;

Ukiwa na A ya 90 na B ya 80, wastani wako ni A ya 85(80+90 gawanya kwa 2).Una A na B ila wastani ni A

Ukiwa na A ya 82 na B ya 70, wastani wako ni B ya 76(82+70 gawanya kwa 2).Una A na B ila wastani ni B.
Mjadala umefungwa
 
Kwa comment hii napendekeza huu mjadala ufungwe
 
Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B mmoja kaandkiwa wastani wa "A" mwingine "B" na wote wamepata hizo alama katika masomo sawa.
Karbuni kwa uafafanuzi wajuzi.
Mkuu wastan unatafutwa kwa kujumlisha marks sio hizo herufi mkuu. Ndivo ilivo. Ukisikia wastan maana yake ni kujumlisha marks na sio herufi. Kwan herufi hizo sawa na ngapi. Wastan unapatikana kwa kujumlisha marks. Kwa hiyo inawezekana kabisa huyo alieangukia kwenye B alikuwa na marks za chin na huyo alieangukia kwenye A marks zake zilikuwa juu. A inaanzia 81 mpaka 100.

Kwa hiyo jiongeze mkuu.
 
Sasa wewe unajua A ya ngapi wamepata hao????Mmoja akipata 90 ni A mwingne akipata 81 ni A lakini wakitafuta wastani Huyo wa 90 atakuwa juu na anaweza bakia A na huyu wa 81 akavutwa B...Simple Sana
Hili ndilo jibu
 
Back
Top Bottom