Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Asalaaam aleykum wana Jf wa jukwaa hili lenye msaada mkubwa kwa jamii! Kwa mnaofaham naombeni mnisaidie katika jambo hili... Ki ukweli sijaoa na naamini hakuna madhara zaidi ya yale yakisaikolojia kwa kukaa mda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa! Ila nimekuwa nikisikia na nimeanza kupata wasi wasi kuwa UUME UNAPO SIMAMA MARA KWA MARA then ukapoa wenyewe bila kushiriki tendo,siku zinavyozidi kwenda, UUME HUPOTEZA UWEZO WAKE (yaani Mishipa ya uume hulegea!) Jambo hili limenichanganya kwani kuchakachua naogopa Ukimwi na kuoa bado najipanga! TAFADHARI NAOMBA MAELEZO YA KITAALAM NA SI LONGOLONGO! Thax in advance.