moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wakuu,
Kuna madhara kwa mwanaume kufanya mapenzi huku umechoka na mwenzi anahitaji, kuna madhara yoyote yanayotokea hapo?