Kuna madhara ya kula kwa pamoja matunda ya 'alkaline' na 'acidic' kwa pamoja?

medisonmuta

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
2,386
1,394
Inasemekana ya kwamba matunda yenye ladha utamu bila uchachu yaani 'alkaline' na matunda yenye ladha ya uchachu yaani 'acidic', yanahitajika kuliwa kwa bila kuchanganya ili kupata faida zaidi.
Je kuna athiri vipi mfumo mzima wa umeng'wenyaji, unapochanganya aina hizi za matunda?
 
Sijawahi kusikia matunda ya acidic ila nachojua matunda yote hadi yale machachu yana alkaline effect kwenye mwili waje maDr. Please
 
Sijawahi kusikia matunda ya acidic ila nachojua matunda yote hadi yale machachu yana alkaline effect kwenye mwili waje maDr. Please
Kuhusu matunda ya acidic kuwa na effect ya alkaline mwilini hiyo ni sawa. Ila nishawahi soma makala inayoshauri ulaji wa kujitegemea.
 
Kwa uelewa wangu kwanza dietician wanashauri Kula tunda moja namaanisha aina moja ya tunda kwa kila mlo mmoja.

Usichanganye matunda.

Asubuhi ukila papai mchana ukala watermelon jion Jingine. Kwanini wanashauri hivo sina jibu la haraka lakin mchanganyo wa matunda unawezaleta kitu inaitwa dispepsia tumbo kujaa gesi na discomfort baada ya kula.
 
Binafsi hadi leo nimechanganya mkate wangu brown, katakata machungwa matatu, piga embe moja, piga mgando kikombe kidogo, na ndio tabia yangu na mwili wangu labda umezoea. kwasababu najua kweney machungwa naongeza vitamin c, na kwenye maembe pia, maziw anaongeza protain na madini mengine, mkate wa ngano usiokobolewa huo unaongeza nguvu kidogo tu na kwa umri wangu sihitaji carbohydrate sana.
 
Back
Top Bottom